Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Whozu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Oscar lelo
Composer
Omary Mwanga
Composer
Lyrics
[Verse 1]
Yaani kama yangu nitaipata hata mkiibana
Yaani kama yangu nitaipata hata mkiibana
Aii mama kumbe siku hizi wachawi sio wazee
Aii mama kumbe siku hizi wachawi sio wazee
Nasema kama yangu nitaipata hata wakiibana
Nasema kama yangu nitaipata hata wakiibana
Aii baba naona wana mapepo tuyakemee
Aii baba naona wana mapepo tuyakemee
[Chorus]
Mungu baba tusamehe tumelewa
Hii dunia kuna watu wanaboa
Mungu baba tusamehe tumekunywa
Hii dunia kuna watu wanakera
[Chorus]
Shikilii papapapapapapa polipo
Shikilii papapapapapapa polipo
Kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa
Kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa
Shikilii papapapapapapa polipo
Shikilii papapapapapapa polipo
[Chorus]
Wasiopenda mi nikifanikiwa wote mavavavavayo
Vaa vavavavavavavavayo
Wasiopenda we ukifanikiwa wote mavavavavayo
Vaa vavavavavavavavayo
[Verse 2]
Yaani kama yangu nitaipata hata mkiibana
Kama yangu nitaipata hata mkiibana
Aii mama kumbe siku hizi wachawi sio wazee
Aii mama kumbe siku hizi wachawi sio wazee
Nasema kama yangu wataipata hata wakiibana
Kama yangu nitaipata hata mkiibana
Aii baba naona wana mapepo tuyakemee
Aii baba naona wana mapepo tuyakemee
[Chorus]
Mungu baba tusamehe tumelewa
Hii dunia kuna watu wanaboa
Mungu baba tusamehe tumekunywa
Hii dunia kuna watu wanakera
[Chorus]
Shikilii papapapapapapa polipo
Shikilii papapapapapapa polipo
Kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa
Kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa
Shikilii papapapapapapa polipo
Shikilii papapapapapapa polipo
[Chorus]
Wasiopenda mi nikifanikiwa wote mavavavavayo
Vaa vavavavavavavavayo
Wasiopenda we ukifanikiwa wote mavavavavayo
Vaa vavavavavavavavayo
Written by: Omary Mwanga, Oscar lelo, Salmin Kasimu Maengo