Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Whozu
Whozu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Oscar lelo
Oscar lelo
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
S2Kizzy
Producer

Lyrics

[Intro]
Fanya kama unaduku, dukua, duku
Kinyume-nyume unaduku, dukua, duku
[Verse 1]
Nimeshikwa na kipururu mama
Wangu keeper anataka goli
Nikapate kiputururu mama
Kwenye bedi Sama goli
[Verse 2]
Lala! Ah ameshiba anataka kulala
Basi leta mto, Lala!
Ah, ana mbwembe kushinda jimanala
Yaani diko-diko, Lala!
Ananoga ka tende, ka peremende ndende
[PreChorus]
Ana bahari mji ka solo (Kasolo, kasolo)
Somersault kwenye godoro (Godoro, godoro)
Nakanyonya kama kandolo (Kandolo, kandolo)
Nakaganda kwenye chochoro (Khochoro)
[Chorus]
Fanya kama unaduku, dukua, duku
Kinyume-nyume unaduku, dukua, duku
Fanya kama unaduku, dukua, duku
Kinyume-nyume unaduku, dukua, duku
[Bridge]
Ooh maduu, ooh madee
Ah du maduu, ooh madee
[Verse 3]
Sura zimevunda wanionea geree
Wasifanye ka tunda waninyoe na nywele lelele
[PreChorus]
We sasambua sasambu (Weka)
Twende Arusha Marangi (Weka)
Saa ya muhogo Chachandu (Weka)
Hadi cha nyuma cha kwangu
[PreChorus]
Ana bahari mji ka solo (Kasolo, kasolo)
Somersault kwenye godoro (Godoro, godoro)
Nakanyonya kama kandolo (Kandolo, kandolo)
Nakaganda kwenye chochoro (Khochoro)
[Chorus]
Fanya kama unaduku, dukua, duku
Kinyume-nyume unaduku, dukua, duku
Fanya kama unaduku, dukua, duku
Kinyume-nyume unaduku, dukua, duku
[Chorus]
Lala! Ah ameshiba anataka kulala
Basi leta mto, Lala!
Ah ana mbwembe kushinda jimanala
Yaani diko diko, Lala!
Ananoga ka tende, ka peremende ndende
[Outro]
Fanya kama unaduku, dukua duku
Kinyume-nyume unaduku, dukua duku
Written by: Oscar lelo, Salmin Kasimu Maengo
instagramSharePathic_arrow_out