Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
The Mafik
Performer
COMPOSITION & LYRICS
The Mafik
Composer
Lyrics
TUMIA Lyrics
INTRO : Tumia zikuzoee , Tumia zikuzoee
VERSE 1 (part one)
I thank God for the blessing, I thank God for another day
I Thank God napumua, Adui yangu Salam Alaykum.
Sa ndio nini kunisemea pembeni,
Sa ndio nini kukumbushia madeni si nitalipa tu, leo niacheni nienjoy nitalipa tu.
(Part two)
Aaah aah mmh
Aah Demu wangu mchawi nikificha hela ndani zinayeyuka, akiona kibunda anawehuka, mmmh (ananchangaya ananchangaya huyoo), aah (ananchanganya ananchanganya huyoo)
BRIDGE :
Oh usiibe niombe, vitagongana vikombe
Mboga mwenzie tonge, Sa jichanganye nikuto….
CHORUS :
Mungu kamuumba mwanaume, mwanaume kaziunda pesa
Mungu kamuumba mwanamke, ili kuzila hizo pesa.
Aah Tumia tumiaa (Tumia zikuzoee) X 2
Baba Tumia tumiaa (Tumia zikuzoee)
Mama Tumia tumiaa (Tumia zikuzoee)
INSTRUMENTAL 🎼
VERSE 2 (part one)
Kila mtu na maisha yake, kimpango wake, tusipangiane starehe
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, ndio halali yake, hilo ndio nataka muelewe.
(Part two)
Kwanini nikuwe munyonge, na pesa za kwangu mwenyewe
Kwanini nisiwe kibonge, wakati nakula mwenyewe. Niacheni
Oowhbabae Niacheni. (Ananchanganya ananchangaya huyoo) aah
BRIDGE :
Oh usiibe niombe, vitagongana vikombe
Mboga mwenzie tonge, Sa jichanganye nikuto….
CHORUS :
Mungu kamuumba mwanaume, mwanaume kaziunda pesa
Mungu kamuumba mwanamke, ili kuzila hizo pesa.
Aah Tumia tumiaa (Tumia zikuzoee) X 2
Baba Tumia tumiaa (Tumia zikuzoee)
Mama Tumia tumiaa (Tumia zikuzoee).
Written by: The Mafik