Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Christina Shusho
Christina Shusho
Performer
Novahhbwoy
Novahhbwoy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christina Shusho
Christina Shusho
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Novahhbwoy
Novahhbwoy
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Nimehesabu, na kuhesabu
Nimehesabu, na kuhesabu
Nimeongeza na kutoa
Nikazidisha na kugawanya
[Chorus]
Nimeona ni wewe, Yesu ni wewe tu
Nimeona ni wewe eh, Yesu ni wewe tu
Hakuna mwingine ni wewe, Yesu ni wewe tu
Pekee yako ni wewe eh, Yesu ni wewe tu
Hesabu zote nilizofanya nimeona ni wewe tu
Pekee yako ni wee, ni wewe Yesu ni wewe tu
Mwanzo mwisho ni wee, ni wewe Yesu ni wewe tu
Huu Yesu ni we eeh, ni wewe Yesu ni wewe tu
[Verse 2]
Nikikumbuka, ulikonitoa
Nikikumbuka uliyonitendea
Ninakumbuka magonjwa uliyoniponya
Ninakumbuka vita uliyonipigania
Ninakumbuka safari umenitembeza
Ninakumbuka yale Mungu uliyotenda
[Chorus]
(Ooh ninasema) ni wee
(Bwana ninasema) ni wewe tu
(Niwewe) niwee
(Yesu wewe) ni wewe tu
(Umetenda haya) ni wee
(Eeh wewe) ni wewe tu
(Hakuna mwingine awezaye) ni wee
(Eeh Bwana) ni wewe tu
[Verse 3]
Nani awezaye kutenda uliyotenda Bwana
Nani angelipa gharama uliyonilipia
Kumbe si wenye mbio washindao michezo
Wala walio hodari washindao vitani
[Verse 4]
Nimeona watumwa wakipanda farasi, eeh Bwana
Wala si wenye hekima wapatao chakula, Bwana
Nimejumilisha, nimetoa, nikazidisha, nikagawa
Wewee sijaona mwingine eeh Bwana
[Chorus]
Ni wee, ni wewe tu
(Ni wewe Bwana) Ni wee
(Oh ni wewe eh) Ni wewe tu
(Umetenda haya) Ni wee
(Oh ni wewe eh) Ni wewe tu
[Chorus]
(Umefanya yote) Ni wee
(Oh ni wewe eh) Ni wewe tu
(Ni wewe Bwana) Ni wee
(Ni wewe eh) Ni wewe tu
[Chorus]
(Umetenda haya) Ni wee
(Oh ni wewe eh) Ni wewe tu
Sifa zote ni zako (Ni wee)
(Oh ni wewe Bwana) Ni wewe tu
[Chorus]
(Ooh ni wewe Yesu) Ni wee
(Oh ni wewe eh Bwana) Ni wewe tu
Ni wee, ni wewe tu
Written by: Christina Shusho
instagramSharePathic_arrow_out