Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Alikiba
Alikiba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Alikiba
Alikiba
Songwriter

Lyrics

Ule ugonjwa ulioniacha nao, bado sijapona
Hata mapenzi ulioniacha nayo, yamebaki jina
Hospitali ooh, za dunia nzima
Nimezunguka kote, wamepima majibu hakuna
Hata ngoma sina (Sina ooh)
Pressure sina as (Sina eeh)
Ugonjwa sina (Sina), jina lako ninalo
Uwepo wako ndo ulikuwa wangu uzima
Naona giza (Ungeniacha hata na mshumaa)
Alioo iyoo, nakumiss
(Tena!) Tutonana, (Tena!) Hata Mungu akipanga leo
(Tena!) Nikufe kesho, (Tena!) Tutaonana tena
(Tena!) Ifike kesho uliamba, (Tena!) Waniweke kwa mchanga
(Tena!) Nikufe kesho, (Tena!) Ali ooh
Labda nikukumbushe, nilipokuvisha pete
Ulisema machache, hauniachi mpaka nife
Maana ngoma sina (Sina ooh)
Pressure sina as (Sina eeh)
Ugonjwa sina (Sina), jina lako ninalo
Uwepo wako ndo ulikuwa wangu uzima
Mi naona giza (Ungeniacha hata na mshumaa)
Alioo iyoo, nakumiss
(Tena!) Tutonana, (Tena!) Hata Mungu akipanga leo
(Tena!) Nikufe kesho, (Tena!) Tutaonana tena
(Tena!) Ifike kesho uliamba, (Tena!) Waniweke kwa mchanga
(Tena!) Nikufe kesho, (Tena!) Ali ooh
Written by: Alikiba
instagramSharePathic_arrow_out