Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Tumaini
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Tumaini
Songwriter
Lyrics
Haijawa rahisi kufika hapa, ni mkono wa Mungu umenibeba
(Haijawa), haijawa rahisi, (Kufi) kufika hapa, ni mkono wa Mungu (Umenibeba), umenibeba
(Umenibeba), umenibeba, (Umenibeba), umenibeba, ni mkono wa Mungu (Umenibeba), umenibeba
(Umenibeba), umenibeba, (Umenibeba), umenibeba, ni mkono wa Mungu (Umenibeba) umenibeba
Hakuna kitu nzuri kama kuweka imani ndani ya Mungu
Hakuna jambo nzuri kama kuweka imani ndani ya Mungu
Yeye hajui dissapointment, yeye haelewi kuvunja moyo
Kumtegemea huepusha mambo mengi, kumtumainia kunasaidia
(Haijawa), haijawa rahisi kufika hapa, ni mkono wa Mungu umenibeba
Haijawa rahisi kufika hapa, ni mkono wa Mungu umenibeba
(Umenibeba), umenibeba, (Umenibeba), umenibeba, ni mkono wa Mungu (Umenibeba), umenibeba
(Umenibeba), umenibeba, (Umenibeba), umenibeba, ni mkono wa Mungu (Umenibeba), umenibeba
Mungu napenda unavyofanya ahadi zako
Kwaanza, ahuwezi ahidi ukose kutimiza
Mungu napenda unavyofanya ahadi zako
Kwanza huwezi ahidi ukose kutimiza
(Haijawa), haijawa rahisi kufika hapa, ni mkono wa Mungu (Umenibeba), umenibeba
(Haijawa), haijawa rahisi, (Kufika) kufika hapa, ni mkono wa Mungu (Umenibeba), umenibeba
(Umenibeba), umenibeba, (Umenibeba), umenibeba, ni mkono wa Mungu (Umenibeba), umenibeba
(Umenibeba), umenibeba, (Umenibeba), umenibeba, ni mkono wa Mungu (Umenibeba) umenibeba
(Umenibeba), umenibeba, (Umenibeba), umenibeba, ni mkono wa Mungu (Umenibeba), umenibeba
(Umenibeba), umenibeba, (Umenibeba), umenibeba, ni mkono wa Mungu (Umenibeba), umenibeba
Written by: Pastor Tumaini