Top Songs By Otile Brown
Similar Songs
Lyrics
[Verse 1]
Sema mami natamani anga mara moja
Uamke nikuone
Sikuwahi kukuambia nakupenda kabla uondoke
Na ina ichoma moyo wangu
Ina ikwaza nafsi yangu
Maana sikupata mda mama yangu
Ya kuomba msamaha wa kosa langu
Sometimes najifunga chumbani mwenyewe
Najiliza kama mtoto
Je unejivunia mimi kua mwanako wewe
Kwenye hii dunia yenye changamoto
[Verse 2]
Tena bado nazingatia mafunzo yako
Busara heshima na upole
Ingawa binadamu kazi
I miss you
Yani leo zaidi ya jana
Hasa siku kama hii I miss you
Na nimejifunga mengi sana toka uniage mama
[Verse 3]
Mapenzi mwenyewe mama yako
Mungu akupe radhi diama
Kipenzi changing cha moyo
Cha kukulipa sina
Shukrani kwanza kwa kunileta hii dunia
Ungeweza kuitoa mimba yangu
Ila ukachagua ni ishi mama
Ninakuonaga unavyojinyima nipate
Izo shida nazishuhudia
Nasijawai kujutia kua mwanao mama
[Chorus]
Aahh mama nataka ujue nashukuru
I love you
Yani leo zaidi ya jana
I love you mama
Na najitahidi sana
Nikupendeze mama yangu, mmh
[Verse 4]
Na bado nazingatia mafunzo yako
Busara heshima na upole
Ingawa binadamu kazi, mmh
Written by: Jacob Obunga