Lyrics

[Verse 1]
Ee Bwana umenichunguza, nakunijua
Wewe wajua kuketi kwangu, na kuondoka kwangu
Umelifahamu wazo langu, tokea mbali
Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu
Umeelewa na njia zangu zoote, hee eh-eh
Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu
Umeelewa na njia zangu zote
[Verse 2]
Ee Bwana umenichunguza, nakunijua
Wewe wajua kuketi kwangu, na kuondoka kwangu
Umelifahamu wazo langu, tokea mbali
Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu
Umeelewa na njia zangu zoote, hee eh-eh
Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu
Umeelewa na njia zangu zote
[Verse 3]
Maana hamna neno ulimini mwangu, usilojua kabisa Bwana
Umenizingira nyuma na mbele, ukaniwekea mkono wako
Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi
Hayadhihiriki, siwezi kuyafikia
Hayadhihiriki, siwezi kuyafikia
Maana hamna neno ulimini mwangu, usilojua kabisa Bwana
Umenizingira nyuma na mbele, ukaniwekea mkono wako
Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi
Hayadhihiriki, siwezi kuyafikia
Hayadhihiriki, siwezi kuyafikia
[Verse 4]
Niende wapi nijiepushe, na roho yako ooh
Niende wapi niukimbie, uso wako ooh
Kama ningepanda Mbinguni, wewe uko ooh
Ningefanya kuzimu kitanda, huko nako uko ooh
Kama nikisema hakika giza litanifunika aah
Giza nalo halikufichi kitu uuh
Giza na mwanga kwako ni sawasawa
[Chorus]
Ee Mungu unichunguze, ujue moyo wangu, ee Mungu
Unijaribu, uyajuwe mawazo yangu eeh Mungu, eeh Mungu
Uone kama niko njia iletayo majuto ndani yangu (Eeh Mungu ee) eeh Mungu
Ukaniongoze katika njia ya haki (Milele) milele
Maana wewe ndiwe uliye niumba (Uzima wangu), uzima wangu eeh Mungu
Macho yako (Macho yako) yaliniona kabla sijakamilika (Eeh Mungu ee) eeh Mungu
Uisikie sauti yangu (Nikuitapo Baba), eeh Mungu, eeh Mungu
Ee Mungu (Ee Mungu) unichunguze, ujue moyo wangu (Ee Mungu), eeh Mungu
Unijaribu (Ee Mungu), uyajuwe mawazo yangu (Ee Mungu), eeh mungu (Ee Mungu) eeh mungu
[Chorus]
Maneno (Maneno) ya kinywa changu (Ya kinywa changu), na mawazo ya moyo (Mawazo, mawazo ya moyo wangu)
Yapate (Yapate) kibali mbele zako (Ee Mungu), eeh Mungu (Ee Mungu), eeh Mungu (Maneno, maneno)
Maneno (Maneno) ya kinywa changu (Ya kinywa changu), na mawazo ya moyo (Ye-iye-iye, mawazo ya moyo wangu)
Yapate (Mawazo ya moyo wangu) kibali mbele zako
(Ee Mungu) eeh Mungu (Ee Mungu), eeh Mungu
(Maneno) maneno ya kinywa changu, na mawazo ya moyo (Iye, iye, iye)
(Mawazo ya moyo wangu) yapate kibali mbele zako
(Ee Mungu) eeh mungu (Ee Mungu) ee Mungu
Written by: Christina Shusho
instagramSharePathic_arrow_out