Lyrics

Kwako unipae uzima, nakupa moyo wangu mzima
Umeniwezesha kushinda, niliyoogopa yangenishinda

Majanga tumeshinda, magonjwa tumeshinda
Mitego ya ma adui, yote tumeshinda
Mawimbi na dhoruba eh bwana tumeshinda
Na tuliogopa yangetushinda
Milima na mabonde, eh bwana tumepita
Yalo tutetemesha bwana umetuliza
Yalo tuogopesha umeondoa mashaka
Na tuliogopa yangetushinda
Kwako unipae uzima, nakupa moyo wangu mzima
Umeniwezesha kushinda, niliyoogopa yangenishinda
Kwako unipae uzima, nakupa moyo wangu mzima
Umeniwezesha kushinda, niliyoogopa yangenishinda
Sasa nakupa shukrani zangu nakupa, baba pokea sadaka yangu ya sifa
Bwana nakupa moyo wangu nakupa, nakupa moyo wangu mzima
Sasa nakupa shukrani zangu nakupa, baba pokea sadaka zangu za sifa
Bwana pokea moyo wangu nakupa, nakupa moyo wangu mzima
(Eh kwako eh bwana), kwako unipae uzima
(Kwako eh bwana), nakupa moyo wangu mzima
Umeniwezesha kushinda, niliyoogopa yangenishinda
(Eh kwako eh bwana), kwako unipae uzima (Nakupa), nakupa moyo wangu mzima
(Mmh ye heh) Umeniwezesha kushinda, niliyogopa yangenishinda
Written by: PETER OMWAKA
instagramSharePathic_arrow_out