Top Songs By Goodluck Gozbert
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Goodluck Gozbert
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Goodluck Gozbert
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Ni mbalii nimetoka
Tena niajabu kuwa hai, maana ningeshakufa aga
Ni mengi nimeona, tena yakuvunja moyo labda ningesha mwacha Mungu
[Verse 2]
Oh kama ni misongo ya mawazo, magonjwa maa
Nimepitia, nikazoea
Maumivu yakudharauliwa umaskini
Kila siku ninajipa moyo (Mmh)
[Verse 3]
Ipo siku yangu tu, ipo si-siku
Ipo siku yangu tu, nami niba-niba-nibarikiwe
Ipo siku yangu tu, ipo si-siku
Ipo siku yangu tu, nami niba-niba-nibarikiwe
Nami nibarikiwe (Nibarikiwe)
Ah nibarikiwe (Nibarikiwe)
Oh nami nibarikiwe (Nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)
Nami nibarikiwe (Nibarikiwe)
Ah nibarikiwe (Nibarikiwe)
Oh nami nibarikiwe (Nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)
Ahh, oh hu hu naona
[Verse 4]
Ingawa kwasasa wananisema vibaya
Nami sishangai najua niya-wanadamu hayoo
Ingawa sipati na nikwa muda murefu
Siachi kuomba Mungu si kiziwi
Ah binadamu wema ukiwanacho
Kwasasa waniepuka sina rafiki wa dhati
[Verse 5]
Oh kama ni misongo ya mawazo, magonjwa maa
Nimepitia, nikazoea
Maumivu yakudharauliwa umaskini
Kila siku ninajipa moyo (Mmh)
[Chorus]
Ipo siku yangu tu, ipo si-siku
Ipo siku yangu tu, nami niba-niba-nibarikiwe
Ipo siku yangu tu, ipo si-siku
Ipo siku yangu tu, nami niba-niba-nibarikiwe
Nami nibarikiwe (Nibarikiwe)
Ah nibarikiwe (Nibarikiwe)
Oh nami nibarikiwe (Nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)
Nami nibarikiwe (Nibarikiwe)
Ah nibarikiwe (Nibarikiwe)
Oh nami nibarikiwe (Nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)
[Verse 6]
Miaka imepita unaombaga mtoto hupati
Vuta subira maana yeye hachelewi
Ona biashara imeandamwa mikosi hupati
Usimwache Mungu waganga watakuponza
Mpo kwa ndoa ila nyumbani amani hakuna
Msimwache Mungu michepuko sio jibu
[Verse 7]
Umeugua tumaini la kupona hakuna
Usimtazame mwanadamu siku yako imekaribia heyy
Najua, ayaya, najua, ayaya
Najua, ayaya, ipoo
Najua, ayaya, najua, ayaya
Najua, ayaya, ipoo
[PreChorus]
Misukosuko ya ndoa (Ipo), mtoto anakusumbua (Siku)
Giza likiingia unawaza wapi utalala (Iba, iba, ibarikiwe)
Masimango mashemeji (Yangu tu), ati huzai mtoto (Siku)
Masimango mama wa kambo (Yangu tuu), umemchosha nyumbani (Iba, iba, ibarikiwe)
Usiwaze husiumie (Yangu tuu), najua yote yatapita (Sikuu)
Siku imekaribia (Yangu tuu), najua yote yatapita (Iba, iba, ibarikiwe)
[Chorus]
Nawe ubarikiwee (Nibarikiwe), aah ubarikiwee (Nibarikiwe)
Nawe ubarikiwe (Nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)
Nawe ubarikiwee (Nibarikiwe), ah ubarikiwee (Nibarikiwe)
Oh nawe ubarikiwe (Nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)
Written by: Goodluck Gozbert, Goodluck Gozbert Wiki