Lyrics
Imbeni sifa wasafiri wa mbingu, nyimbo tamu nyimbo zenye furaha
Pigeni zeze pigeni tarumbeta, sauti zenu zitoe sifa kwa Bwana

Njooni nyote tumwimbie Bwana maana yeye ametenda mema, japo tulitanga mbali na Bwana, mikononi mwake alitubeba
Pendo lake ni pendo la agape, alitupenda na hatatuacha alihaidi atakua nasi imbeni sifa milele daima

Pigeni zeze pigeni tarumbeta, walio gizani waone nuru (ya kwamba) waliofungwa na mwovu wawe huru neema ya Bwana itawaweka huru
Njooni nyote tumwimbie Bwana maana yeye ametenda mema, japo tulitanga mbali na Bwana, mikononi mwake alitubeba
Pendo lake ni pendo la agape, alitupenda na hatatuacha alihaidi atakua nasi imbeni sifa milele daima
Njooni nyote tumwimbie Bwana maana yeye ametenda mema, japo tulitanga mbali na Bwana, mikononi mwake alitubeba
Pendo lake ni pendo la agape, alitupenda na hatatuacha alihaidi atakua nasi imbeni sifa milele daima
Njooni nyote tumwimbie Bwana maana yeye ametenda mema, japo tulitanga mbali na Bwana, mikononi mwake alitubeba
Pendo lake ni pendo la agape, alitupenda na hatatuacha alihaidi atakua nasi imbeni sifa milele daima
Njooni nyote tumwimbie Bwana maana yeye ametenda mema, japo tulitanga mbali na Bwana, mikononi mwake alitubeba
Pendo lake ni pendo la agape, alitupenda na hatatuacha alihaidi atakua nasi imbeni sifa milele daima
Written by: Pillars of Faith Ministers