Top Songs By Christina Shusho
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Christina Shusho
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christina Shusho
Composer
Lyrics
[Intro]
Moyo wangu tulia umgonje Bwana
Moyo wangu tulia umgonje Bwana
Moyo wangu tulia umgonje Bwana
Moyo wangu tulia umgonje Bwana
[Verse 1]
Usikate tamaa ndugu yangu, Mungu yupo
Usirudi nyuma, nafasi yako bado ipo
Usikate tamaa ndugu yangu, Mungu yupo
Usirudi nyuma, nafasi yako bado ipo
[Refrain]
Liko tumani kwa mti uliokatwa
Utachipua tena na kuzaa matunda
Liko tumani kwa mti uliokatwa
Utachipua tena na kuzaa matunda
[PreChorus]
Moyo wangu tulia umgonje Bwana
Moyo wangu tulia umgonje Bwana
Moyo wangu tulia umgonje Bwana
Moyo wangu tulia umgonje Bwana
[Chorus]
Moyo (Moyo) moyo (Moyo)
Tulia (Tulia) tulia (Tulia)
Moyo (Moyo) moyo (Moyo)
Tulia (Tulia) tulia (Tulia)
Moyo (Moyo) moyo (Moyo)
Tulia (Tulia) tulia (Tulia)
Moyo (Moyo) moyo (Moyo)
Tulia (Tulia) tulia (Tulia)
[Verse 2]
Kila jambo na wakati wake
Kwa kila kusudi na majira yake
Wakati wa Mungu ukifika, nitakumbukwa
Eeh moyo, moyo, moyo, moyo
[Verse 3]
Maana yupo Mungu anatuwazia mema
Na tena yupo Mungu, anatufuta machozi
Ni kwa muda mfupi mateso yako
Tena ni kwa muda mfupi Yesu atabadili historia yako
[Refrain]
Lipo tumani kwa mti uliokatwa
Utachipua tena na kuzaa matunda
Liko tumani kwa mti uliokatwa
Utachipua tena na kuzaa matunda
[PreChorus]
Moyo wangu tulia umgonje Bwana
Moyo wangu tulia umgonje Bwana
[Chorus]
Moyo (Moyo) moyo (Moyo)
Tulia (Tulia) tulia (Tulia)
Moyo (Moyo) moyo (Moyo)
Tulia (Tulia) tulia (Tulia)
Moyo (Moyo) moyo (Moyo)
Tulia (Tulia) tulia (Tulia)
Moyo (Moyo) moyo (Moyo)
Tulia (Tulia) tulia (Tulia)
Written by: Christina Shusho