Lyrics
[Intro]
Heh! Yeah-yeah
Kurelax, kurelax weh!
[Chorus]
Bwana atanibarikiri, kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
Atanipa mahitaji yangu
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
[Chorus]
Bwana atanibarikiri, kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
Atanipa mahitaji yangu, kwa kadri ya utajiri wake

[Verse 1]
Nani apinge, alichosema Mungu
Nani alaani, alichobariki Mungu
Hakuna awezaye kuzuia, alichotenda Mungu
[Chorus]
Na kama kuna pando, 'lopandwa na mwovu (Nang'oa)
Pando la muovu (Mi' nang'oa)
Kila andiko 'loandikwa kwa hila (Nafuta)
Andiko la hila (Mi')
[Chorus]
Na kama kuna pando lilopandwa na mwovu (Nangoa)
Pando la muovu (Mi' nangoa)
Kila andiko 'loandikwa kwa hila (Nafuta)
Andiko la hila (Mi)
[Verse 2]
Imeandikwa nitakuwa kichwa siyo mkia
Wakwanza si wa mwisho
[Verse 3]
Bwana atanibarikiri, kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
Atanipa mahitaji yangu, kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
[Chorus]
Bwana atanibarikiri, kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
Atanipa mahitaji yangu, kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
[Chorus]
Mi na relax, na relax ooh
(Na relax, na relax, na relax) Mi na relax, na relax ooh
(Mwenyewe amesema) Mi na relax (Na relax) na relax ooh
(Atanipa utajiri wake) Mi na relax (Na relax) na relax ooh
(Atanalisha kama ndege angani) Mi na relax (Na relax) na relax ooh
(Atanipamba kama ua kondeni) Mi na relax (Na relax) na relax ooh
(Yesu akisema atafanya) Mi na relax (Na relax) na relax ooh
(Neno lake ni amina na kweli) Mi na relax (Na relax) na relax ooh
[Chorus]
Bwana atanibarikiri, kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
Atanipa mahitaji yangu (Yesu mwenyewe amesema), kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
[Outro]
(Nangoja atimize) Na relax, na relax ooh (Ukwei wangu)
(Nangoja atimize leo) Na relax, na relax ooh
(Eeh! Ooh!) Mimi na relax, narelax ooh
(Mungu wee, ooh Yesu wee) Mimi na relax, na relax ooh
(Ii) Mimi na relax, na relax ooh
(Hoyoyoo) Mimi na relax, na relax ooh
(Yes weeh) Mimi na relax, na relax ooh
Mimi na relax, na relax ooh
Written by: Christina Shusho