Lyrics
[Verse 1]
Kuna vitu vingine kwa maisha yako ni vya kunyamaza
Siri zako za ndani na mambo yako si ya kutangaza
Nakuona unavyofunguka kwa beshte zako, itakuumiza
Ukigundua wale unaoamini ndo wanaeneza
[Chorus]
Funga mdomo (Fuu)
Fyata Mdomo (Fwaa)
Funga Mdomo (Fuu)
Fyata Mdomo (Fyaa)
[Verse 2]
Mkipatana pararapapa
Unaroopokwa kila kitu pararapapa
Ndio maana una ng'ang'ana ng'ang'ana
Vitu zimekwama ata ukikazana kazana iye
Mkipatana pararapapa
Unaroopokwa kila kitu pararapapa
Ndio maana una ng'ang'ana ng'ang'ana
Aah kazana kazana iye
[Chorus]
Funga mdomo (Fuu)
Fyata Mdomo (Fwaa)
Funga Mdomo (Fuu)
Fyata Mdomo (Fyaa)
[Chorus]
Funga mdomo (Fuu)
Fyata Mdomo (Fwaa)
Funga mdomo (Fuu)
Fyata Mdomo (Fyaa)
[Verse 3]
Nilimuomba Mungu aondoe adui zangu
Akaondoa rafiki zangu
Mi sikujua
Nilodhani rafiki zangu kumbe ndio adui zangu
[Verse 4]
Walichukizwa na mafanikio yangu
Wakafuraishwa na matatizo yangu
Na wakayatangaza madhaifu yangu
Niliowaamani ni Wandani wangu
[Chorus]
Sasa nafunga mdomo (Fuu)
Fyata mdomo (Fwaa)
Mi nafunga mdomo (Fuu)
Fyata mdomo (Fwaa)
Funga mdomo (Fuu)
Fyata mdomo (Fwaa)
Funga mdomo (Fuu)
Fyata mdomo (Fwaa)
Written by: Audiphaxad Peter Omwaka