Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Upendo Nkone
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Upendo Nkone
Songwriter
Lyrics
(Huku na huku eeh) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Kila ninapoimba) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Niwapo nimelala) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Na ninapo tembea-tembea) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Hata nikiwa nakula) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Eh niwapo safarini) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Nikiwa masomoni) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Huku na huku na kule na hapo) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Anitegulia mitego ya muovu) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Mi nalindwa kuliko wakuu wa dunia) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Hata nikiwa pekee yangu) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Na nikiwa nyumbani kwangu) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Na nikiwa kazini) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Huku na huku na huku) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Nikiwa hospitalini) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Nimezungukwa na nguvu za Mungu) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Huku na huku hee) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Na mawimbi, mawimbi) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
(Huku na kule na kule na hapoo) Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizungukaa
Written by: Upendo Nkone