Top Songs By AbduKiba
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
AbduKiba
Performer
Yammi
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
AbduKiba
Lyrics
The Mix Killer
Composer
Alikiba
Lyrics
Passo
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
Mafeeling
Producer
Lyrics
Ahaaahah
Haaaaah
Moyo wangu unadunda na Bandama
Najihisi furaha nikikutazama
Na hiyo rangi ya fedha
Vyenye unapendeza
Na ipite usiku ama mchana aah
Nawaza tu tukikutana
Vyenye unanibeba
Huku Unanikoleza
Niko na amani niko niko moyoni sherehe
Niko na amani tangu niwe nae moyoni sherehe
Niko na amani niko niko moyoni sherehe
Niko na amani tangu niwe nae moyoni sherehe
Youuuuu you you youuuuuuu you youuuu
I'm love with u "Yes I Do"
Youuuuu you you youuuuuuu you youuuu
I'm love with u "Yes I Do"
Litapita pepo la hasira, kununa na kuzila
Juwa wewe your "my only one"
Na kuna furaha na madhira
Ewe baby usinione tofauti sitabadilika
Mimi ni wako kwako, nimefika fika rabeikha nimeitika
La la la aah nifanye wako wa halali
Nami nimekwita kwita maana nimefika fika nararaa
Nakufanya wangu wa halalii eeeh
Niko na amani niko niko moyoni sherehe
Niko na amani tangu niwe naye moyoni sherehe
Niko na amani niko niko moyoni sherehe
Niko na amani tangu niwe nae moyoni sherehe
Youuuuu you you youuuuuuu you youuuu
I'm love with u "Yes I Do"
Youuuuu you you youuuuuuu you youuuu
I'm love with u "Yes I Do"
Mmmh mmh mmmh mmh Yes I Do
THE MIX KILLER
Written by: AbduKiba, Alikiba, Passo, The Mix Killer