Top Songs By Christian Bella
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Christian Bella
Performer
Saraphina
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Christian Bella
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Unapeanda kununa, unapenda kuzirai kila saa
Ooh babyy
Sio kwamba napenda kununa, napenda kuzira kila saa
Ooh baby yeah
[Verse 2]
Jua upo moyoni mwangu na ingali ingekuwa, moyo ina mlango
Ningekufunguliaa ungejiangaliaa
Upo moyoni mwangu na ingali ingekuwa moyo una mlango
Ningekufunguliaa ila ninacho hitaji ndoaa
[Verse 3]
Ata mi natamani mi natamani ndoa ifungwe
Tuwalete majiarani na marafiki wote wafikee
Mi natamani mi natamani ndoa ifungwe
Tuwalete majirani na marafiki ooh! aaah! uyeee
[Chorus]
Utanioa kweli ama unaniongopea
Unanichezea
Aah! uuuh! baby ntakuoa kweli sio kwamba nakuchezea
Ila ngojeaa
[Chorus]
Utanioa kweli ama unaniongopea
Unanichezea
Aah! uuh! baby ntakuoa kweli sio kwamba nakuchezea
Ila ngojeaa (Ma sheli)
[Verse 4]
Yananiumiza kichwa maneno yao waimba taarabu
Wanasema unanichezea ukichoka utanikimbia ooh
Maneno yao sio msaafu maneno yasilete hitilafu
Ukanikimbia mi ntalia ooh
[Verse 5]
Nakupenda nawewe wanipenda
Hasa kwanini hutaki ndoaa
Uuuh huuu nakupenda najua unanipenda pia
Usijali ntakuoaa
[Verse 6]
Ata mi natamani mi natamani ndoa ifungwe
Tuwalete majirani na marafiki wote wafikee
Mi natamani mi natamani ndoa ifungwe
Tuwalete majirani na marafiki ooh! aaah! uyeee
[Chorus]
Utanioa kweli ama unaniongopea
Unanichezea
Aah! uuuh! baby ntakuoa kweli sio kwamba nakuchezea
Ila ngojeaa
[Chorus]
Utanioa kweli ama unaniongopea
Unanichezea
Aah! uuh! baby ntakuoa kweli sio kwamba nakuchezea
Ila ngojeaa (Ma sheli)
Written by: Christian Bella