Music Video

Platform X Ruby - Vitamu (Official Music video)
Watch Platform  X Ruby - Vitamu  (Official Music video) on YouTube

Credits

PERFORMING ARTISTS
Platform
Platform
Performer
Ruby Afrika
Ruby Afrika
Performer
Suleyman Salim Gao
Suleyman Salim Gao
Acoustic Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Kerwin Amos Swai
Kerwin Amos Swai
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Suleyman Salim Gao
Suleyman Salim Gao
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Hapo nyuma nishakutana na wengi
Ila wewe umeniweza, oh my darling
Mengi yamesemwa umeshatoka na wengii
Masikio nikaziba, ooh my darling
[Verse 2]
Acha moyoni nikuweke wewe pekee huniishi hamu
Acha maneno yawatoke wapige ngepe we nipe vitamu
[PreChorus]
I'm ready to die for our to fly
Ooh baby leo mpaka kesho milele
Nd am ready to die your lover is on fire
Baby ooh baby tufe tuzikwe wotee
[Chorus]
Acha nikupe vitamu, vitamu, vitamu
Baby nikupe vitamu, vitamu, vitamu
Nami nikupe vitamu, vitamu, vitamu
Baby nikupe vitamu, vitamu, vitamu
[Verse 3]
Umeniheshimisha ohh baby
Your my ginger mwengine sioni
Roho yatakatika ohh raha darling
Chozi umenifuta kwa penzi lako baby
[PreChorus]
Chanda chema (Ni wewe) nivike petee
Nitakupenda (Milele) tuzeeke wote
[PreChorus]
I'm ready to die for our to fly
Ooh baby leo mpaka kesho milele
Am ready to die your lover is on fire
Ooh baby tufe tuzikwe wotee
[Chorus]
Acha nikupe vitamu, vitamu, vitamu
Baby nikupe vitamu, vitamu, vitamu
Nami nikupe vitamu, vitamu, vitamu
Baby nikupe vitamu, vitamu, vitamu
[Outro]
I'm ready to die for our to fly
Ooh baby leo mpaka kesho milele
And am ready to die your lover is on fire baby
Ooh baby tufe tuzikwe wotee yeie
Written by: Kerwin Amos Swai
instagramSharePathic_arrow_out