Top Songs By Moni Centrozone
Credits
PERFORMING ARTISTS
Moni Centrozone
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Moni Centrozone
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kapipo Beats
Producer
Lyrics
pluuuu Mpaka maka nimefika Aah
Yaan chaka chaka tika tika aah
Aaaaih na Mimosi pwika pwika Aah
Hujaniita naitika
Napenda unavyokatika
Ukiishika Namwagika boomboklat
kwenye sita kwa sita
Spika inavokita naridhika boombklat
Baby Mwenzako moyo wangu wa kike napenda nang'ang'ania
Yaan Mwenzako I like the way unavyonipatia Aah
Napenda unavyokatika Ukishika Namwagika boomboklat
kwenye sita kwa sita
spika inavyokita naridhika boomboklat
Yeeh yeye yeye yeyeee
yeeyee yeeyeeo
Yeeeh yeyee yeye yeyee
Yeeeh yeee yeh yeeeo x2
Naskia unataka mpini wa mtoto wa mtaani oh nanaa
Zidisha kidogo nikueke ndan oh nanaa
Si unanipa siti ya nyuma wako usukani oh nanaa
Napigilia nyavu naeka bampani oh nanaa
Waambie haramu haizaliwi kwenye kitanda si ndio?
Huna msambwanda ila una chanda si ndio?
Mi navopiga deki we unailamba si ndio?
Sasa nioneshe ujuzi wako ukiucheza mnanda .
Jifanye mtoto wa mjini akuone toi ,
Sie Hatufosi Wenzako Wanataka kuchill na big boys,
Vitu motomoto kwenye foil,
Jua la utosi bila maelekezo bebe hauopoi
Ndo maana sijutusu kukupost,
Kwa maana najua ukishaenda mjini itanicost,
Kuna wanangu mafisi aaf nna wanangu maboss
Wanangu wa kuslide wanapenda andaliwa msosi
Napenda unavyokatika
Ukiishika namwagika boomboklat
Kwenye sita kwa sita
Spika inavokita naridhika boomboklat
Yeeh yeye yeye yeyeee
yeeyee yeeyeeo
Yeeeh yeyee yeye yeyee
Yeeeh yeee yeh yeeeo
Written by: Moni Centrozone