Lyrics
[Verse 1]
Drop! Bang-bang-bang, aah (Yeah!)
When you hear the sound
Bang-bang-bang!
It's a proof we living life
[Verse 2]
Hey! Ladies call your friend
Ladies call your friend
Bwana Trone ana mapesa leo anataka kuspend
Wee
[Verse 3]
Umeachwa mataa ya jiji
Kisa umeomba hela ya wigi
Mi gwiji ng'ombe natoa zizi
Nishahonga kijiji, kinaitwa itigi
Ttu-ttu-ttu-ttu-ttu-twe
Mwaga radhi mchana kweupe
Uswahilini code hizo chipupute
Ukishikwa ta! lazima ugeuke
[PreChorus]
Ttu-ttu-ttu-ttu-ttu-twe
Mwaga radhi mchana kweupe
Uswahilini code hizo chipupute
Ukishikwa ta! lazima ugeuke
[Chorus]
Breakdown, breakdown
Una breakdown, vitu visiwe vingi sana, breakdown
Breakdown, oya breakdown
Usije ukaingia chaka, breakdown
[Verse 4]
And when you hear that sound
It's a proof we living life
When you hеar that sound
When you hеar that sound
When you hеar that sound
[Verse 5]
Naitwa majina, ufalme ni heshima
Wengine wananiita mmasai wa mjini
Wakiona simba, wanapigia mimi
Dada Mwajuma, sister Carolina
[Verse 6]
Ukiitwa kwa jina
Twende bilinge, bilinge, yani mpaka chini
Jiachie basi, binua nikutunze, nikupe maksi
Fanya kama hautaki
[Verse 7]
Mgongo kama vile unakanda chapati
Maisha yanazidi kupanda bei
Kazi yangu ni ku-make sure you're doing okay
Bata la Paris huko, forget Dubai
Na mambo yetu mengine, tutafanya all the way
[PreChorus]
Ttu-ttu-ttu-ttu-ttu-twe
Mwaga radhi mchana kweupe
Uswahilini code za chipupute
Ukishikwa ta! lazima ugeuke
Ttu-ttu-ttu-ttu-ttu-twe
Mwaga radhi mchana kweupe
Uswahilini code hizo chipupute
Ukishikwa ta! lazima ugeuke
[Chorus]
Breakdown, breakdown
Una breakdown, vitu visiwe vingi sana, breakdown
Breakdown, oya breakdown
Usije ukaingia chaka, breakdown
And when you hear that sound
It's a proof we living life
When you hеar that sound
When you hеar that sound
When you hеar that sound
[Outro]
Iyoo, lo-lo-lo
Iyoo, lo-lo-lo
Written by: Ally Salehe Kiba, Shariff Thabit Ramadhani