Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jux
Jux
Performer
Zuchu
Zuchu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Juma Mkambala
Juma Mkambala
Songwriter
Zuhura Othman Soud
Zuhura Othman Soud
Songwriter
RAYMOND MAZIKU
RAYMOND MAZIKU
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Mocco Genius
Mocco Genius
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Buhali gani naifanya moyo wangu una dadaika
Niko tabani umeniacha dakika maili tuu nishaboeka
Umeniweka rehani changu kiwali wili moyo umeuteka
Umeniathiri honey nishaharibika Mbaya kwa yako makopaa
Kama mapenzi kitabu ungekua kurasa ya kati kati
Ukichanwa wewe eh story haiendelei
Aah nakupenda mpaka adhaabu
Baby nahisi kuna hati hati ukiniacha wewe eh
Wallahi mimi sitoboii
[PreChorus]
Honey honey (Honey)
Wangu wa ubani ubani
Mimi ndege wako
Saa manati ya nini
[Chorus]
Nakupa ruhusa wee
Nidhibiti
Nidhibiti
Nidhibiti
Nakupa ruhusa wee
Nidhibiti (Wee)
Nidhibiti
Nidhibiti
[Verse 2]
Ewe baby, ewe baby
Mke wangu, mme wangu
Mimi na wee
Hadi milele
[Verse 3]
Ooh mbivu ziwe mbichi
Nivya kwetu sisi
Sijali nishaivia yah yah yah
[Verse 4]
Wabaya wanafiki
Watafute viti wakae kwa kutulia yah yah
[Verse 5]
Upendo kwetu faradhi
Umepita Sunnah
Rabii atuhifadhithi mpaka kufika jana
[Verse 6]
Na mimi kwako niradhi
Kufaa kuzikana
Waambie wavunje nazi
Si tumeshindikana
[PreChorus]
Honey honey (Honey)
Wangu wa ubani ubani
Mimi ndege wako
Saa manati ya nini
[Chorus]
Nakupa ruhusa wee
Nidhibiti
Nidhibiti
Nidhibiti
Nakupa ruhusa wee
Nidhibiti (Wee)
Nidhibiti
Nidhibiti
Written by: Juma Mkambala, RAYMOND MAZIKU, Zuhura Othman Soud
instagramSharePathic_arrow_out