Lyrics

Aaah haya eeh aah
Nyuma nilitaka kuzungumza na
We ila nafasi hiyo kwako nikakosa
Sikujuta wala sikulalamika sababu
Naamini kukupenda wewe sijafanya makosa
Japo nilisuffer machozi nikaangusha
ila hujawahi nifuta hata kwa Kuniongopea
Ndio kwanza unacheka huku ukinibeza
na mashoga zako vibarazani kuniongelea
Mpenzi dunia imebadilika bado naweza
nikakupa pesa na bado nikawa Nakuongopea
Basi vumilia kesho nitapata
Nitakupa kila unachotaka sababu wewe ni malkia
Baby wangu am sorry hiii hii
Sorry hiii hiii
Sorry hii hii hii
Sorry hii hii
Baby wangu am sorry hiii hii
Sorry hiii hiii
Sorry hii hii hii
Baby am sorry hii
Oneni navyolia kama mtoto
Kwenye sekta ya mapenzi nahisi nimechapwa viboko
Na kinachoniumiza ni yangu huruma
Maana mama barnaba alisema mwanamke akikuudhi usije kumpiga
Oneni ndio nasuffer huruma yangu inaniponza
Kazi yangu kufungua milango usiku wa manane wenzangu wakigonga
Nakupenda bado unampenda
Namvumilia kila akinitenda
Nahisi hiyo ndio nafasi anayoitumia kuniumiza
Inshallah navumilia najua yataisha
Ipo siku atagundua me ni wake wa maisha
Na sitamlipizia nitamvumilia na ntambembeleza nitamsahihisha
Kila atakapokuwa anakosea
Baby wangu am sorry hiii hii
Sorry hiii hiii
Sorry hii hii hii
Sorry hii hii
Baby wangu am sorry hiii hii
Sorry hiii hiii
Sorry hii hii hii
Baby am sorry hii
Written by: Elias Barnabas
instagramSharePathic_arrow_out