Credits
PERFORMING ARTISTS
Mimi Mars
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Gabriel Manase
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Nishangatwa na nyoka
Ndo mana naogopa
Hata nikiguswa na jani
[Verse 2]
Uko nilipotoka
Mwanzo nilishasota
Kuitafuta Amani
[Verse 3]
Wala sio kwamba sikufikiri
Nakuwazaga
Tena sio kwamba sikupendi
Nakupendaga
[Chorus]
Ila kwenye haya mambo
Ya malovey dovey
Mwenzako nisha give up
Oh give up, oh give up
[Chorus]
Na kwenye haya mambo
Sijui ya kupendana
Mwenzako nisha give up
Oh give up, oh give up
[Bridge]
I think about money
Ndo inanipa furaha
Ukitaka tuelewane
Labda uje na chapaa
[Verse 4]
Nakuangalia kwenye macho nakuvaa
Nakuona ndani ya moyo wako hauna furaha
Hauna imani na mapenzi umejikataa
Umemaliza kucha kwa kujikwa jikwa
[Verse 5]
Huwezi kuniambia utabakia single
You have no idea me maji ya shingo
Siko hapa lindo sina hiyo mitindo
Jackpot bingo penzi la kishindo
[Verse 6]
Ushakutana na washenzi hawaeleweki
Wacha nikupe mapenzi kudadadeki
Wacha nikupe nafasi ya kujiona keki
We malkia unahitaji kitu cha kuketi
[Verse 7]
Furaha inatibika mambo yanabadilika
Me mwenzako tika tika nipo misitu nanyika
Niko kiangazi masika nitapilika pilika na wee
You need love baby girl, mapenzi ni dawa
[Chorus]
Ila kwenye haya mambo
Ya malovey dovey
Mwenzako nisha give up
Oh give up, oh give up
[Chorus]
Na kwenye haya mambo
Sijui ya kupendana
Mwenzako nisha give up
Oh give up, oh give up
[Outro]
I think about money
Ndo inanipa furaha
Ukitaka tuelewane
Labda uje na chapaa
Written by: Gabriel Manase