Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Zabron Singers
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marco Joseph Bukulu
Songwriter
Emmanuel Zabron Philipo
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Ukisikia ni harusi tufurahi
Maana sio rahisi kumpata
Vigezo huwa ni vingi kukubali
Mara mfupi mweusi simtaki
Wengine sitaki mweupe mara mi nataka mweusi
Hamjui Mungu sitaki
Vigezo kwa vigezo
Sasa nimeshapata wangu kipenzi
Kipenzi cha roho yangu Leo namtambulisha
Namtambulisha kwenu
[Chorus]
Uko single? (Hapana nishampata wangu)
Yuko wapi? (Huoni mzuri twaendana)
Uko single? (Hapana keshampata wake)
Yuko wapi yuko wapi? (Ni mimi huoni twaendana)
Je uko single? (Hapana) Uko single? (Nishampata wangu)
Yuko wapi? (Huoni mzuri twaendana)
Je yuko single? (Hapana) Mmh (Keshampata wake)
Yuko wapi tujue? (Ni mimi huoni twaendana)
[Verse 2]
Nishike mkono kipenzi
Kwangu wewe ndo kila kitu
Na leo ndio siku yetu
We mzuri kwangu, kwa wazazi
Ukapita moyo wangu ukapitisha
Na pastor amekubali tufunge ndoa yetu
[Verse 3]
Ona twapendeza tukitembea pamoja
Tuimbe pamoja na tufurahi pamoja
Ona hata watu wote wamekusanyika hapa
Kutuweka pamoja tuje tuishi pamoja
[Chorus]
Uko single? (Hapana nishampata wangu)
Yuko wapi? (Huoni mzuri twaendana)
Uko single? (Hapana keshampata wake)
Yuko wapi yuko wapi? (Ni mimi huoni twaendana)
Je uko single? (Hapana) Uko single? (Nishampata wangu)
Yuko wapi? (Huoni mzuri twaendana)
Je yuko single? (Hapana) Mmh (Keshampata wake)
Yuko wapi tujue? (Ni mimi huoni twaendana)
Written by: Emmanuel Zabron Philipo, Marco Joseph Bukulu