Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Zabron Singers
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
JAPHET ZABRON PHILIP
Songwriter
Marco Joseph Bukuru
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Ya nini Mungu kujificha wakati wa shida?
Wakati mwingine kama kweli huoni
Wajua yote yalonikuta hayasimliki
Nimelia na kujinyamazisha pekee (Yangu)
[Verse 2]
Moyoni nikataabika, furaha ikaenda
Sikumwona wa kumwelezea shida aah
Rafiki pekee namwamini, ni Yesu mfariji
Ndio maana sijamwambia mtu shida (Zangu)
[Chorus]
Nitasubiri na kusubiri sitachoka
Nimeshamezana na wewe kwa maombi
Usipojibu, au ujibu nitaelewa
Nashukuru, hata kwa majaribu
(Mungu unasababu) Mimi kuishi maisha kama haya
[Chorus]
Nitasubiri na kusubiri sitachoka
Nimeshamezana na wewe kwa maombi
Usipojibu, au ujibu nitaelewa
Nashukuru, hata kwa majaribu
(Mungu unasababu) Mimi kuishi maisha kama haya
[Verse 3]
Kwa nini sasa umesimama mbali nami Bwana?
Muda mwingi mi najihisi mi ni mpweke
Jidhihirishe mi nikuone, nakuhitaji Bwana
Nibariki sasa ukijibu maombi (Yangu)
[Verse 4]
Najua mengi nimekuudhi, nimetenda dhambi
Ndio maana ukasimama mbali nami iih
Nisamehe yote, yote bure, kwa damu ya Yesu
Nifanye mi niwe mtoto wako siku (Zote)
[Chorus]
Nitasubiri na kusubiri sitachoka
Nimeshamezana na wewe kwa maombi
Usipojibu, au ujibu nitaelewa
Nashukuru, hata kwa majaribu
(Mungu unasababu) Mimi kuishi maisha kama haya
[Chorus]
Nitasubiri na kusubiri sitachoka
Nimeshamezana na wewe kwa maombi
Usipojibu, au ujibu nitaelewa
Nashukuru, hata kwa majaribu
(Mungu unasababu) Mimi kuishi maisha kama haya
Written by: JAPHET ZABRON PHILIP, Marco Joseph Bukuru, Zabron Singers