Lyrics

[Chorus]
Sisi ndio wale watoto Mungu
Ukitugusa utapigwa Mungu
Na tulipo katuweka Mungu
Ni mboni ya jicho lake huyu Mungu
[Chorus]
Sisi ndio wale twapendwa na Mungu
Ukitugusa utapigwa Mungu
Chini juu katuleta Mungu
Sio mchezo kupendwa na huyu Mungu.
[Verse 1]
Mungu ni mmoja hii dunia
Nampenda na mwamini
Namzungumzia Mungu yule wa upendo
Kwa mapoja twasifu jina lake
[Verse 2]
Ndiye Yesu mwenye jina kuu
Heshima mamlaka vi mabegani mwake
Wauweza na nguvu
Mtawala wa yote ndiyo maana twamsifu
[Verse 3]
Na hapa tulipo katuweka Mungu
Tusingefika hapa bila yeye
Nani wa kupinga? Mungu akipanga
Hakuna mwingine kama huyu Mungu wetu
[Refrain]
Eeeh tunasema eehee hee hee hee
Twapendwa eehee hee hee hee
Na Yesu eehee heee e hee hee
Ndio maana twamsifu
[Chorus]
Sisi ndio wale watoto Mungu
Ukitugusa utapigwa Mungu
Na tulipo katuweka Mungu
Ni mboni ya jicho lake huyu Mungu
[Chorus]
Sisi ndio wale twapendwa na Mungu
Ukitugusa utapigwa Mungu
Chini juu katuleta Mungu
Sio mchezo kupendwa na huyu Mungu
[Verse 4]
Iwe ni shida na magonjwa ukiuma moyo hutibu
Hata siwezi kueleza mazuri ya huyu Yesu
Tunalindwa tunapendwa tufurahi anatupenda
Ni mzuri huyu Yesu
[Verse 5]
Hakuna Mungu kama wewe eehee heee hee hee
Hakuna Mungu kama wewe eehee heee hee hee
Hakuna Mungu kama wewe eehee heee hee hee
Hakuna Mungu kama wewe eehee heee hee hee
[Refrain]
Hakuna Mungu kama wewee eehee hee hee hee eeh
Ndio maana twakusifu
Hakuna Mungu kama wewe eehee heee hee hee
Hakuna Mungu kama wewe eehee heee e hee hee
Hakuna Mungu kama wewe eehee heee e hee hee
[Refrain]
Hakuna Mungu kama wewe eehee heee e hee hee
Hakuna Mungu kama wewee eehee heee e hee hee eeh
Kama wewe ehee heee e hee hee eeh
Ndio maana twakusifu
[Chorus]
Sisi ndio wale watoto Mungu
Ukitugusa utapigwa Mungu
Na tulipo katuweka Mungu
Ni mboni ya jicho lake huyu Mungu
Sisi ndio wale twapendwa na Mungu
Ukitugusa utapigwa Mungu
Chini juu katuleta Mungu Mungu
Sio mchezo kupendwa na huyu Mungu
Written by: JAPHET ZABRON PHILIP
instagramSharePathic_arrow_out