Top Songs By Obby Alpha
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Obby Alpha
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Obby Alpha
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mixing Doctor
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Siwezi pigana na we nanyosha mikono juu basi pigana na Mungu
Siwezi shindana na we nanyoosha mikono juu basi shindana na Mungu
[Chorus]
Ooh shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Basi pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
Pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
[Chorus]
Ooh shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Basi pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
Pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
[Verse 2]
Hata kama vita ntapigana ila ushindi atanishindia aah
Yote si mapenzi yangu, bali ni mapenzi yake Mungu
Ukitamka laana ila baraka kanitamkiaa
Yote si mapenzi yangu, bali kwa mapenzi yake Mungu
[Verse 3]
Maana uhai wangu mie
Nimemkabidhi yeye
Ukitaka kunigusa mie
Unataka kumgusa yeye
[Verse 4]
Ukinigusa kwa mema atakubariki atakubariki
Ila ukitaka kwa mabaya usishiriki maana sio rahisi
Maana vita yangu eeh, si ya mwili bali ni ya rohoni
Tena sipigani mimi eeh, anaenipigania Mwokozi
Hivyoo
[PreChorus]
Siwezi pigana na we nanyosha mikono juu basi pigana na Mungu
Siwezi shindana na we nanyoosha mikono juu basi shindana na Mungu
[Chorus]
Ooh shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Basi pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
Pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
[Chorus]
Ooh shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Basi pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
Pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
[Verse 5]
Ukipigana na mimi nikuachie Mungu basi jua yako imeenda
Ukipigana na mimi nikuachie Mungu basi jua yako imeenda
Aliyeniita ni Mungu mwenyewe, mbona nipigane vita
Aliyeniita ni Mungu mwenyewe, mbona nipigane vita
[Verse 6]
Maana vita vyangu, si vya mwili bali ni vya rohoni
And I don't fight for myself, anayenipigania Mwokozi
Hivyoo
[Verse 7]
Hivyo basi anayepigana sipigani naye
Namuachia Mungu apambane naye
Anayeshindana sishindani naye
Namuachia Mungu apambane naye
[Verse 8]
Anayeniwinda siwindani naye
Namuachia Mungu apambane naye
Namuachia Mungu apambane naye
[Refrain]
Maana vita yangu, si ya mwili bali ni ya rohoni
Tena sipigani mimi, anayenipigania Mwokozi
Hivyoo
[PreChorus]
Siwezi pigana na we nanyosha mikono juu basi pigana na Mungu
Siwezi shindana na we nanyoosha mikono juu basi shindana na Mungu
[Chorus]
Ooh shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Basi pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
Pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
[Chorus]
Ooh shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Basi pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
Pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
Written by: Obby Alpha