Credits
PERFORMING ARTISTS
Zabron Singers
Performer
COMPOSITION & LYRICS
JAPHET ZABRON PHILIP
Songwriter
Marco Joseph Bukuru
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Imenigharimu sana mimi kuwa hapa
Acha Mungu awe Mungu
Tangu kuzaliwa kwangu ujana uzee
Acha wahimili acha
[Verse 2]
Kwenye giza kaniwekea nuru
Nisihangaike
Kwenye shida hutengeneza njia
Watu wake tunapita
[Verse 3]
Nimekuja kugundua umbali umenileta
Acha Mungu nikusifu
Ju sina Mungu mwingine
Wakunitendea haya hakika wanikumbuka
[Chorus]
Hivi nilivyo ni Mungu ni yeye kaniwezesha
Ni Mungu mwenye uweza
Nitaendelea kuvuka popote niko na Mungu
Ni Mungu yuko na mimi
[Chorus]
Ni mengi nimepitia na leo kufika hapa
Kama si Mungu ni nani
Wadhani nani, tena
Mengi akanivusha, na baraka zikapanda
Wadhani Mungu ni nani?
Mungu ni nani? Ni nani
[Bridge]
Ni nani, wadhani Mungu ni nani
Ni nani
Yeye ni nani?
Tena kwani Mungu ni nani
Mungu ni nani?
[Verse 4]
Kuzihesabu tu siku
Ni nguvu za Mungu ndio maana niko hai
Sikumpa chochote
Wakati wa Mungu unapofika umemfika
[Verse 5]
Nilipokuita hukusita, ulisema nami
Ninakushukuru umenipa maisha mazuri
[Verse 6]
Nimekuja kugundua we ni Mungu mwenye nguvu
Mwenye mamlaka yote
Sababu niko na wewe sina tofu na mashaka
Hii stanzia yangu ni yako
[Chorus]
Hivi nilivyo ni Mungu ni yeye kaniwezesha
Ni Mungu mwenye uweza
Nitaendelea kuvuka popote niko na Mungu
Ni Mungu yuko na mimi
Ni mengi nimepitia baada ya kufika hapa
Kama si Mungu ni nani
Wadhani nani, tena
Mengi akanivusha, na baraka zikapanda
Wadhani Mungu ni nani?
Mungu ni nani?
[Chorus]
Hivi nilivyo ni Mungu ni yeye kaniwezesha
Ni Mungu mwenye uweza
Nitaendelea kuvuka popote niko na Mungu
Ni Mungu yuko na mimi
Ni mengi nimepitia baada ya kufika hapa
Kama si Mungu ni nani
Wadhani nani, tena
Mengi akanivusha, na baraka zikapanda
Wadhani Mungu ni nani?
Mungu ni nani?
[Outro]
Ni nani?
Ni nani? Wadhani Mungu ni nani
Utabaki kuwa Munguu
Written by: JAPHET ZABRON PHILIP, Marco Joseph Bukuru