Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mercy Masika
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mercy Masika
Songwriter
Wolf Wörz
Composer
Lornah Woerz
Lyrics
Lyrics
[Verse 1]
Wako mwana ukamtuma aah
Duniani kisa na maana
Nipate uzima
Jamani wako mwana ukamtuma aah
Duniani kisa na maana
Nipate uzima, jamani eeh
[PreChorus]
Ishaara kwamba unanipenda zaidi
Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi
Ishaara kwamba unanipenda zaidi
Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi
[Chorus]
Na siwezi jizuia (Kusema wako wema)
Sio kama najigamba (Umenitenda mema)
Na siwezi jizuia (Kusema wako wema)
Sio kama najigamba (Umenitenda mema)
Umekuwa mwema kwangu
[Verse 2]
Umenitoa gizani
Nilipokuwa nimeshikwa mateka
Ukanipa tumaini, kwako nikajificha
Sasa nitakupa nini
Iwe sawa na yale umetenda
Hakuna ila moyoni, sifa nitakuimbia
[PreChorus]
Ilikugharimu, msalabani unifie
Hivo inanibidi, sifa nikuimbie
Wema wako niseme, ili na wengine wakujue
Wote waungane nami, na wazee ishirini na nne
[Chorus]
Na siwezi jizuia (Kusema wako wema)
Sio kama najigamba (Umenitenda mema)
Na siwezi jizuia (Kusema wako wema)
Sio kama najigamba (Umenitenda mema)
[PreChorus]
Umekuwa mwema (Kwangu)
Acha niringe, umekuwa mwema kwangu
Oh Yahweh, ooh (Kwangu)
Oh umenitendea, aah (Kwangu)
Acha niimbe
[Chorus]
Siwezi jizuia, kusema wako wema
Sio kama najigamba, umenitenda mema
Na siwezi jizuia, kusema wako wema
Sio kama najigamba, umenitenda mema
[Chorus]
Na siwezi jizuia, kusema wako wema
Sio kama najigamba, umenitenda mema
Na siwezi jizuia, kusema wako wema
Sio kama najigamba, umenitenda mema
Written by: Lornah Woerz, Mercy Masika, Wolf Wörz