Lyrics

Moyo wangu, moyo wangu mama, eh, moyo wangu mimi, umeniponza mama
Moyo wangu, moyo wangu mama, eh, moyo wangu mimi, umeniponza mama
Ah, ah, ah, upole wangu simanzi, eh, kwangu kupenda maradhi, iih
Lakini kupendwaga mi naye, bahati huwaga sinaa
Jichoni kwangu kibanzi, eh, ninakapenda kamanzi, iih
Licha ya kumthamini kama shilingi, tatizo hata raha sina
Ufinyu wa mboni zangu (Mboni zangu), unatazama mengi yanayonipa mateso
Ukweli hata kupenda sina raha, ona nakonda kwa mawazo
Masikini penzi langu Gina, lishakata na kauli roho inatoka kesho, kutwa nzima mara, eh, mara, iih, hata najuta kupenda
Moyo wangu (Moyo mama), moyo wangu mama, eh (Moyo mama), Moyo wangu mimi (Aah, eeh), umeniponza mama (Oh, oh, oh)
Moyo wangu (Moyo mama), moyo wangu mama, eh (Moyo mama), moyo wangu mimi, umeniponza mama
Mmh, tena, ni kutwa kucha maneno, kosa sikosa maneno
Ili mradi ru karaha tantaila, mmh, sina raha
Wala sina tena mipango (Ho), kutwa nzima na mawazo Giną, ah, ah, ooh, sina raha, oh mama
Tamu ya wali ni nazi, eh, raha ya supu mandazi, iih, raha yangu mi kupendwa tu naye, lakini nyota sina
Laana napata na radhi, eh, nawakufukuru wazazi, iih, kwa kung'ang'ana mi kutaka kuwa naye, lakini bahati sina
Masikini roho yangu (Roho yangu), ingelikuwa ni nguo ningempa avae
Kila kona akipita wamsifie, ila lakini ni kikwazo
Masikini penzi langu Gina, lishakata na kauli roho inatoka kesho, kutwa nzima mara, eh, mara, iih, hata najuta kupenda
Moyo wangu (Eh, eh, eh, eh), moyo wangu mama, eh (Eh, eh, eh, eh, eh), moyo wangu mimi (Ah ah, oh-oh), umeniponza mama (Eeh)
Moyo wangu (Moyo mama), moyo wangu mama, eh (Moyo wangu), moyo wangu mimi (Eiih), umeniponza mama
Moyo wangu, moyo wangu mama, eh, moyo wangu mimi, umeniponza mama
Moyo wangu (Moyo mama), moyo wangu mama, eh (Moyo mama), moyo wangu mimi, umeniponza mama
Written by: Diamond Platnumz
instagramSharePathic_arrow_out