Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Gopa Beatz
Gopa Beatz
Producer
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

[Intro]
Akinipenda mama inatosha
Akinipenda baba inatosha
Akinipenda mama inatosha
Akinipenda baba inatosha eh eh
[Verse 1]
Mwanzo nilikuwa sijui
Nilihadithiwa na mababu
Mwanzo nilikuwa sijui mapenzi
Niliyasoma kwa vitabu
[Verse 2]
Sasa nimekuwa nimejua mapenzi uchizi
Yule unayempenda ndo anakunyima usingizi
Kwake moyo unautua bila kipingamizi
Na kesho anakuzingua mapenzi ya siku hizi
[Verse 3]
Unatuma message mchana anajibu usiku
Unatuma message usiku anajibu mchana
Unatuma message mchana anajibu usiku
Mapenzi unamwona online anachat
Na kukujibu hataki
Anaposti yuko kwa party na marafiki
[PreChorus]
Sasa niko single naenjoy
Niko single naenjoy
Mwenzenu niko single naenjoy
Bora niko single naenjoy
[Chorus]
(Nikitaka kwenda kibeach)
Naenda naparty mpaka asubuhi
(Afu siulizwi ooh)
Naenda naparty mpaka asubuhi
[Chorus]
(Nikitaka kwenda Tipsy)
Naenda naparty mpaka asubuhi
(Element Samaki Samaki)
Naenda naparty mpaka asubuhi
Juliana Liquidi oooh
[Bridge]
Ooh shobo (Ricardo Momo)
Sitaki Shobo (Don Fumbwe)
Ooh shobo (Msalimie Mkubwa Fela na Babu Tale)
Sitaki Shobo na mapenzi (Don Mendez Mahela)
[Verse 4]
Sitaki Shobo na mapenzi
Bora kila mtu kivyake
Mwenzenu mi siwezi naona bora niache
Yasije nitokea puani
[Verse 5]
Mkingombana kidogo kammiss ex wake
Na wanachat na kuview status zake
Wakumbushie zamani naah
Makopa kopa wanatumiani
Emoji za makopa eti ku-commentiana
Makopa kopa wanatumiani
Emoji za makopa eti ku-commentiana
[Verse 6]
Ukiniona nacheza mziki usidhani nina mawazo
Jamani kuwa single raha (Uncle Shante)
Ukiona navuta shisha usidhani nina mastress
Wala na enjoy raha (Wapi Mama Dangote)
[Verse 7]
Ukiniona nakunywa Hennessy usije dhani ninamsongo
Jamani u-single raha (Esma Platinumz, Juma Lokole)
Ukiniona nangonga KVANT usije dhani Hamada
Jamani kuwa single raha, niacheni mwenzenu
[PreChorus]
Niko single naenjoy
(Naenjoy)
Niko single naenjoy
(Siulizwi na mtu)
(Eti baby uko wapi)
(Unafanya nini)
(Naishi navyo taka eeh)
Mwenzenu niko single naenjoy
Bora niko single naenjoy
[Chorus]
(Nikitaka kwenda Dubai)
Naenda naparty mpaka asubuhi
(Kitambaa cheupe kwetu pazuzi ooh)
Naenda naparty mpaka asubuhi
[Chorus]
(Twaga pepeta msondo ngoma)
Naenda naparty mpaka asubuhi
(Fute fute la jasho)
Naenda naparty mpaka asubuhi
Uhuru Picky, Party pointy
Jangwani Sea Breeze, The baze tucheze wote
[Outro]
Komboa komboa saga
(Saga kisigino)
Komboa komboa saga
(Isagie kwa juu)
Komboa komboa saga
(Sagia kwa chini chini)
Komboa komboa
Ah ah ah, sio hivyo inatakiwa tusage viuno jamani
[Outro]
(Aya twende)
Komboa komboa saga
(Twende shikilia dera)
Komboa komboa saga
(Zungusha acha kumwera)
Komboa komboa saga
(Kata tutunze mahela)
Akinipenda mama inatosha eh eh
Written by: Lava Lava
instagramSharePathic_arrow_out