Credits

PERFORMING ARTISTS
Aslay
Aslay
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Aslay
Aslay
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Awadh Salim
Awadh Salim
Producer

Lyrics

Labda mapenzi yawaumiza roho zao
Eti kwengine sipati sijiwezi, ndo maneno wasema
Kwamba kwako sifurukuti sijiwezi
Ndivyo hivyo wanavyosemanga, na mimi nanyamaza kimya nakupenda
Naogopaa nikikuona nakuwa kimya, sina cha kusema nakupenda
Labda sinaga faragha nashuka kupanda ila nakupenda
Mimi kwako ni mjinga sinaga ujanja waache wanaokondaa
Kama chumba mi dalali iyeyeye (Ahh), Penzi letu lifike mbali iyeyeye (Ahh)
Nibebe bee (Nakupenda usiwe na gubu)
Ewe nibebe bee (Hata kama nikining'iniza miguu)
Nibebe bee (Wanataka niwe chini wawe juu)
Mpenzi wee nibebe bee (Ahh-ahh)
Nimesikia wamekuundia na group matusi matupu, wanakunyanyasa wanakutukana jitoe
Usiwe mchonga vinyago utanifirisi, mwisho wa siku tukigombana ikawa hadithi
Wee kitumbo mbele-mbele kwa kuku na chipsi, usiyeacha hata mifupa utakuwa fisi
Kama chumba mi dalali iyeyeye (Ahh), penzi letu lifike mbali iyeyeye (Ahh)
Nibebe bee (Nakupenda usiwe na mkuu)
Baby wee nibebe bee (Hata kama nikining'iniza miguu)
Nibebe bee (Wanataka niwe chini wawe juu)
Mpenzi wee nibebe bee (Ahh ahh)
Nibebe bee (Nakupenda usiwe na gubuu)
Baby wewe nibebe bee (Hata kama nikining'iniza miguu)
Nibebe bee (Wanataka niwe chini wao juu)
Mpenzi wee nibebe bee (Ahh ahh)
Written by: Aslay
instagramSharePathic_arrow_out