Top Songs By Ay Masta
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ay Masta
Remixer
COMPOSITION & LYRICS
Ambwene Yessayah
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
sky
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Eti nani ana namba yake hapa kuna teni limezagaazagaa
Nani anapajua kwake oya hapa kuna teni linazagaazagaa
Umbo lake pale yanga anavaa aucho (Namba nane)
Kifuani kila saa anatembea na masaa (Saa sita)
Moyoni mwangu huyu mama, nimepa diarra (Namba moja)
Kiukweli nimempenda, ila ndo sijui nifanyeje (Patamu hapo)
[Verse 2]
Kwenye mashavu yake ana tushimo oh, huku na huku
Kajaliwa sura kajaliwa shape mashaallah huku na huku
Nimechoka kumuota, usiku naweweseka ah
Someboy mwambie mi mwenzake nampenda wallahi (Yule)
[Chorus]
Nampenda sana jinsi alivyo (Yule)
Nampenda sana jinsi alivyo simple (Yule)
Nampenda sana jinsi alivyo
Nitafanyaje patamu hapo (Yule)
[Chorus]
Nampenda sana jinsi alivyo (Yule)
Nampenda sana jinsi alivyo simple (Yule)
Nampenda sana jinsi alivyo
Nitafanyaje (Patamu hapo)
[Refrain]
Mmh nitafanyaje (Patamu hapo)
Wahuni nitafanyaje (Patamu hapo)
Oh nitafanyaje (Patamu hapo)
Ouh no no, no, no (Patamu hapo)
[Verse 3]
Anavyo tabasamu ndo anavyonipa hamu
Sura na umbo lake basi lanipa wazimu
Nataka kumfuata (Nahisi atakataa)
Naogopa akinimwaga stori itazagaa
[Refrain]
Umbo lake pale Yanga anavaa aucho (Namba nane)
Kifuani kila saa anatembea na masaa (Saa sita)
Moyoni mwangu huyu mama nimepa diarra (Ah, ah)
Kiukweli nimempenda, ila ndo sijui nifanyeje (Patamu hapo)
[Chorus]
Yule (Anayesumbua akili yangu)
Yule (Anayeumiza moyo wangu)
Najua faamu, najua faamu
Moyoni mi ntakufa na mawazo
[Verse 4]
Lakini kumwambia ndo siwezi mimi
[Chorus]
Nampenda sana jinsi alivyo (Yule)
Nampenda sana jinsi alivyo simple (Yule)
Nampenda sana jinsi alivyo
Nitafanyaje (Patamu hapo) (Yule)
Nampenda sana jinsi alivyo (Yule)
Nampenda sana jinsi alivyo simple (Yule)
Nampenda sana jinsi alivyo
[Refrain]
Nitafanyaje (Patamu hapo)
Mmh nitafanyaje (Patamu hapo)
Wahuni nitafanyaje (Patamu hapo)
Oh nitafanyaje (Patamu hapo)
Ouh no, no, no (Patamu hapo)
Written by: Ambwene Yessayah