Music Video

Aslay - Kwa Raha ( Official Music Video )
Watch Aslay - Kwa Raha ( Official Music Video ) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Aslay
Aslay
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Aslay
Aslay
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Awadh Salim
Awadh Salim
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Umenipukutisha, umeniacha kama bwege
Umenipa ugonjwa kama ule degedege, mmh
Sina hata thumni ya kununua chipsi zege, eeh
Nikianza kulia machozi yanajaza debe, (Debe)
[Verse 2]
Imani na hitaji la moyo wako sikulijua, kumbe
Kwangu ulitaka kipato ukakimbia aah
Ulivyopata kile ukitakacho ukazingua weewe
Kumbe tapeli wa mapenzi me sikujua, aii weh
[Verse 3]
Masura wa moyo wanguu mama ndiye
Uliyeniacha mimi njia paanda
Umeondoka na moyo wangu mama
Wakati mwenzako nilishakupenda
[PreChorus]
Ulipenda kuforce hata kama sitaki
Yani bundle lako la kutumia unataka laki, ah
Umeshanifilisi eti haunitaki
Sawa mwana kwenda me nitapata Mungu akiipeendaa
[Chorus]
Kwa rahaa (Saawa)
Kwa raha zako, (Kwa rahaa)
Kwa rahaa
Ponda tu mali zangu we dadaa
[Chorus]
Kwa raha
Kwa raha zako (Kufa kwaja)
Kwa raha
(Atanilipia mungu baba baba) iye, kwa rahaa
Kwa raha zako kwa rahaa
[Verse 4]
Ona sasa
Umeniachia mdeni kwa yule mama sikudhani
Kumbe ulikopaga lotion naumbuka huku
Umetupa jiwe gizani kisha limenipata mimi
We mbona huna shukurani naumbuka huku
[Verse 5]
Kichwa boga zuga zuga mpaka dagaa
Nashindwa kukopa aaeeh
Madeni uloniachia nashindwa kulipa ee
We masura wa moyo wangu mama ndiye
Uliyeniacha mimi njia paanda
Umeondoka na moyo wangu mama
Wakati mwenzako nilishakupendaa
[PreChorus]
Ulipenda kuforce hata kama sitaki
Yani bundle lako la kutumia unataka lakii, aah
Umeshanifilisi eti haunitaki
Sawa mwana kwenda me nitapata Mungu akiipeenda
[Chorus]
Kwa rahaa (Saawa)
Kwa raha zako, (Kwa rahaa)
Kwa rahaa
Ponda tu mali zangu we dadaa
[Chorus]
Kwa raha
Kwa raha zako (Kufa kwaja)
Kwa raha
(Atanilipia mungu baba baba) iye, kwa rahaa
Kwa raha zako kwa rahaa
Written by: Aslay, Aslay Isihaka
instagramSharePathic_arrow_out