Top Songs By Nay Wa Mitego
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Nay Wa Mitego
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Emmanuel Elibarick Munis
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
David Maganga
Producer
Yogo Beat
Producer
Themixkiller
Producer
Lyrics
Girl unanikosha we ndio faraja yangu usawa huu, wengine walinitocha kisa sina vyangu mtembea kwa miguu
Mungu fundi amenileta wewe, unavyo nikataga nakuita kiwembe, ukiwa shambani unanitaga jembe
Ukichoka bongo twende kwa madiba, naogopa hapa bongo watakuiba
Jinsi ulivyo mzuri unanipa shida, naniliyo na manguvu si nitawapiga
I'm in love, I'm in love, I'm in love, I'm in love with you

Nikikuona na swety (Ayayaa), kabla ujani petipeti (Ayayaa), we ndio yangu apitaiti (Ayayaa), ayayayaa (Ayayaa)

Oh, my gal your firee, moyoni wangu sitaweka mwiba, nitaulinda usiku mchana
Please don't get tired, waliojaribu kukuiba nishawafanya kitu mbaya
Baby you change my life, ikitokea tukiachana Mungu akupe good life
Imani yangu inanituma mpaka umauti we ndio wife, sipendelei ugovi ila for you I can fight
Mama unaniweka roho juujuu (Juujuu), nataka twende town kwa miguu (Miguu)
Penzi lako noma changanya na juju (Jujuu), na kama shule wewe ni chuo kikuu (Kikuuu)
Ukichoka bongo twende kwa madiba, naogopa hapa bongo watakuiba
Jinsi ulivyo mzuri unanipa shida, naniliyo na manguvu si nitawapiga
I'm in love, I'm in love, I'm in love, I'm in love with you
I'm in love, I'm in love, I'm in love, I'm in love with you
Nikikuona na swety (Ayayaa), kabla ujani petipeti (Ayayaa), we ndio yangu apitaiti (Ayayaa), ayayayaa (Ayayaa)
Nikikuona na swety (Ayayaa), kabla ujani petipeti (Ayayaa), we ndio yangu apitaiti (Ayayaa), ayayayaa (Ayayaa)
Mama unaniweka roho juujuu (Juujuu), nataka twende town kwa miguu (Miguu)
Penzi lako noma changanya na juju (Jujuu), na kama shule wewe ni chuo kikuu (Kikuuu)
Ukichoka bongo twende kwa madiba, naogopa hapa bongo watakuiba
Jinsi ulivyo mzuri unanipa shida, naniliyo na manguvu si nitawapiga
Oh, my gal your firee, moyoni wangu sitaweka mwiba, nitaulinda usiku mchana
Please don't get tired, waliojaribu kukuiba nishawafanya kitu mbaya
Nikikuona na swety (Ayayaa), kabla ujani petipeti (Ayayaa), we ndio yangu apitaiti (Ayayaa), ayayayaa (Ayayaa)
Nikikuona na swety ii
Written by: Emmanuel Elibarick Munis