Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Aslay
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Aslay
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Shaban Mohammed
Producer
Lyrics
Yani raha hata tukilala na njaa, kila saa nakuona mpya mamy
Tena raha huku ninavimba kitaa, unang'aa hata kwenye giza mamy
Basi tulia eh, kama maji kwenye mtungi baby, nitakulea eh, ilimradi unipe heshima
Kama mbolea eh, nitatia ili unawiri sana, nimekuzoea eh, ukiniacha itaniuma sana
I wish angekuona (Maamaama), angefurahi mama (Maamaama)
Mama yangu mamaa (Maamaama), angefurahi mama (Maamaama)
Ninavyomjua mama, angekupa vitenge, tena bila hiyana na kikapu cha embe
Ana viwanja mama, angekupa ujenge, na ukirudi kwangu, upate muogo wa jang'ombe
Umeondoka mama imekuja zawadi, nabaki nalia-nalia sina budi
Usije itupa mwana naogopa dhambi, ila nakuombea ulale pema kwa God
Basi tulia eh, kama maji kwenye mtungi baby, nitakulea eh, ilimradi unipe heshima
Kama mbolea eh, nitatia ili unawiri sana, nimekuzoea eh, ukiniacha itaniuma sana
I wish angekuona (Maamaama), angefurahi mama (Maamaama)
Mama yangu mama (Maamaama), angefurahi mama (Maamaama)
(Maamaama) Mama, mama, ma (Maamaama), I wish angekuwepo mama (Maamaama), lololololo, lololololo (Maamaama)
Uko wapi mama, mama, mama, mama, mama, mama
Nakukumbuka me mwanao eeh, maamaama maaaama
Written by: Aslay