Music Video

Mbosso - Tamu (Official Music Video) SKIZA 8544941 to 811
Watch Mbosso - Tamu (Official Music Video) SKIZA 8544941 to 811 on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Mbosso
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mbosso
Mbosso
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

Kasuku mwenye sauti nyororo, mususu yasoro ndomboro
Na bando letu la buku twapeluzi mpaka tommorow
Mambo iko huku penzi twalila kwa soro
Anipelekesha (Msobe-msobe) kama Fuso lapanda mlima
Na nilivyofundi kuchelewesha (Kobe-kobe), simpi dusko nzima-nzima
Mukoroge sumu munywe wenye vijiba vya roho, yatawatoka mapunye muumwe kwasha koo
Tena wavimbe na wanune ishakuwa yako, itafune imung'unye ifike kunako
Ooh Baby nikikushika kiuno (Tamu), nikikuchumchum (Tamu), nikikukumbatia (Tamu, tamu kolea)
Penzi letu baby (Tamu), ani mpaka kisogoni (Tamu), talalalaa (Tamu, tamu kolea)
Babe tufanye wazi-wazi watuone, picha weka dp na makopa kopa caption
Babe waliokosa kazi wanong'one, wapandishe bp wapumue kwa oksijeni
Waambie vimberu mberu sio penzi la mashaka, tushasoma dua kusitirika kwa wenye macho ya paka
Waambie mimi beberu si jogoo la pasaka, wanajisumbua kukunja ndita wata zeeka haraka
Stili waya ananisugua (Kwa mapovu povu)
Hanaga mbayaa laazizi (Show mbovu-mbovu)
Tena fundi mwaya kazi anaijua (Ma love-love)
Haijawahi kupwaya yanikidhi
Mukoroge sumu munywe wenye vijiba vya roho, yatawatoka mapunye muumwe kwasha koo
Tena wavimbe na wanune ishakuwa yako, itafune imung'unye ifike kunako
Ooh baby nikikushika kiuno (Tamu), nikikuchumchum (Tamu), nikikukumbatia (Tamu, tamu kolea)
Penzi letu baby (Tamu), ani mpaka kisogoni (Tamu), talalalaa (Tamu, tamu kolea)
Ebooh, baby mtoto kakua (Kasimama dede), mtazame (Kasimama dede)
Mwana anatembea (Kasimama dede), yani te tee
Anataka aking'ate (Kasimama dede), kaona kitumbua (Kasimama dede)
Amekuwa baba (Kasimama dede), yani te, te, tee
Written by: Mbosso
instagramSharePathic_arrow_out