Lyrics

[Verse 1]
Ooh! baby dance dance like that
Baby dance dance like that
Ooh! baby dance dance like that
Dance like that
[Verse 2]
Umeniteka oh my-my-my
Ukiondoka nitadie die-die-die
Napenda kitumbua chai-chai-chai-chai
Nimekupa mbawa fly-fly-fly
Urembo wako ooh, nikikuona inadunda roho
Tabasamu lako oooh, sijiwezi umenikaba koo
What can I do, without you, baby boo uuh! Uuh!
Ni wewe tuu, barafuu, beautiful uuh
[PreChorus]
Nampenda huyu, ataniua huyu
Kiboko yangu roho yangu huyu, tamu yangu huyu
Nampenda huyu, ataniua huyu
Kiboko yangu roho yangu huyu, tamu yangu huyu
[Chorus]
Baby dance, dance like that
Baby dance, dance like that
Ooh! my baby dance, dance like that
Dance like that
Oh my baby dance, dance like that
Baby dance, dance like that
Ooh! my baby dance dance like that
Dance like that
[Verse 3]
Nipe, baby, mapenzi ya Tanga huko kunani
Are you ready, niko na mbawa tupae angani
Ati moyo wangu mimi, umekumbwa na kitu gani
Yaani siwezi bila ya wewe maishani
Hizi hisia kama utamu sukari guru
Nishakuwa sijiwezi acha tu nipige nduru
Hizi hisia kama utamu utamu sukari guru
Ooh penzi juu ya mapenzi yanawaka kama nuru, baby oohh
[PreChorus]
Nampenda huyu, ataniua huyu
Kiboko yangu roho yangu huyu, tamu yangu huyu
Nampenda huyu, ataniua huyu
Kiboko yangu roho yangu huyu, tamu yangu huyu
[Chorus]
Dance, dance like that
Baby dance, dance like that
Ooh! my baby dance dance like that
Dance like that
Oh my baby dance, dance like that
Baby dance, dance like that
Ooh! my baby dance dance like that
Dance like that
[Outro]
Ooh waah! Aa! Ooh waah! Aa!
Simuachi sitaki
Utamu wa mapenzi ntaupata wapi?
Simuachi sitaki
Kwa utamu wa mapenzi niende wapi?
Written by: Raymond Shaban Mwakyusa, Sharif Said Juma, Teddy D
instagramSharePathic_arrow_out