Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Producer
Monster
Producer
Lyrics
Niamini eeh mimi mwingine sina darling, na sikufunzwa mbaya tabia
Mahaba niue mimi kwako chali-chali, ndani donda funza nishaga jifia
Bora kukueleza imenishinda siri, we ndo umeniweka kiganjani
Na nikiteleza unikoshe na mwili, chonde usije nieka visangani
Nawe chunga kauli zinaponza, zitafanya tuwe maadui, maaduii
Kinywa tia kufuri na macho fumba, usije kutamani mabedui, mabeduii
(Dede, dede) Simama wakuone you are my number one
(Dede, dede) Sitaki mwingine you are my only one
(Dede, dede) Simama wakuone you are my number one
(Dede, dede) 'Mi sitaki mwingine you are my only one
Natamani makosa yasingekuwepo, tusikosanee ooh babe yoyo
Na samahani ingekuwa kama kichekesho, tuchekeshane eeh oh bila choyo
Naweka wazi nshaahidi moyo wangu, we ndo fundi wa raha zangu, kachumbani uzandu-uzandu kwako bwerere
Mkuna nazi mwali kwa matandu, mi pweza na ngurupandu, unavyo mix na chachandu sinaga kwere
Basi chunga kauli zinaponza, zitafanya tuwe maadui, maaduii
Kinywa tia kufuli na macho fumba, usije kutamani mabedui, mabeduii
(Dede, dede) Simama wakuone you are my number one
(Dede, dede) Sitaki mwingine you are my only one
(Dede, dede) Simama wakuone you are my number one
(Dede, dede) Sitaki mwingine you are my only one
(Dede, dede) Simama wakuone you are my number one
(Dede, dede) Sitaki mwingine you are my only one
(Dede, dede) Simama wakuone you are my number one
(Dede, dede) 'Mi sitaki mwingine you are my only one
Written by: Lava Lava