Music Video

Barnaba Classic - Lover Boy (Official Video)
Watch Barnaba Classic  - Lover Boy (Official Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Barnaba
Barnaba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Barnaba
Barnaba
Songwriter

Lyrics

Akiomba pesa hataki, na penzi langu amelidhihaki
Amekubali na kubaki, aki ya Mungu jama simuachi
Kwenye life watu wengi wanafeki, yule wa nyuma alisepareti
Maisha sio lazima kudeti na videnti, come on
Kama ni gari kwako nimefunga breki, na pendo langu kwako halielezeki
Kwako si eti wala sifeki siko true na ndripi na warembo feki
Najua umeshaumizwa na mengi sana, ushakutana na ma hurt breaker
Ila sio mimi ii, I am a good boy
Walishazichezea hisia zako mpenzi wangu mwisho wa siku wakakuacha ukilia
Mapenzi ukayachukia aa, ila sio mimi
I am a good boy, I am a good boy, I am a good boy, good boy, baby
Dont call me lover boy, don't call me lover-lover-lover boy baby
Dont call me lover boy, I am an innocent baby
Dont call me lover boy, don't call me, call me, call me lover boy baby
Dont call me lover boy, I am an innocent baby
Noo baby
Nalalia kwa nia sio kama napendae
Noo oh, how come mpenzi wako we tunamwudumia
Wengine wanakuja kumtumia, hamna love sikuhizi wananunua ehh
Washenzi bora wamalize na kutulia, wakimaliza waiishi kututangazia, eti yule binti si tumemtumia yee
Walishazichezea hisia zako mpenzi wangu mwisho wa siku wakakuacha ukilia, mapenzi ukayachukia aa
Ila sio mimi, I am a good boy, I am a good boy, I am a good boy, good boy, baby
Dont call me lover boy, don't call me lover-lover-lover boy baby
Dont call me lover boy, I am an innocent baby
Dont call me lover boy, don't call me, call me, call me lover boy baby
Dont call me lover boy, I am an innocent baby
Akiomba pesa hataki, na penzi langu amelidhihaki
Amekubali na kubaki, aki ya Mungu jama simuachi
You're my everything, you're my only one
Akiomba pesa hataki, na penzi langu amelidhihaki
Amekubali na kubaki, aki ya Mungu jama simuachi
Baby you're my everything, you're my only one
Written by: Elias Barnaba
instagramSharePathic_arrow_out