Lyrics
[Intro]
Sisi ni walevi, tunakesha bar
Tunatumia hela, hatujaja kushangaa
[PreChorus]
Sisi ni walevi, tunakesha bar
Tunatumia hela, mpaka jua lianze ng'aa
Kama pombe we hauwezi hapa hapoto kufaa
Nenda meza za inzi kwa wenzako wanaoshangaa
[Chorus]
Wenyewe tuna kikao
Tuna kikao, tuna kikao, tuna kikao
Eeh tupishe bwana (Wenyewe tuna kikao)
Tuondolee kelele (Tuna kikao)
Tupishe bwana (Tuna kikao)
Eeeh (Tuna kikao) eeh
[Verse 1]
Wazee wa nyumba tutajenga mwakani (Ndo zetu)
Kwanza heshima mezani (Ndo zetu)
Kikubwa ghetto na bebe iwe ndani (Ndo zetu)
Na mama ale nyumbani
[Verse 2]
Tukizikosa kitongo (Ganda la ndizi)
Tukizipata ndo maboss (Matumizi)
Tukiwa bwii kuhonga (Ving'ang'anizi)
Tunatakaga ile kitu (Ya uzinzi)
[PreChorus]
Jamani sisi ni walevi, tunakesha bar
Tunatumia hela, mpaka jua lianze ng'aa
Kama pombe we hauwezi hapa hapoto kufaa
Nenda meza za inzi kwa wenzako wanao shangaa
[Chorus]
Wenyewe tuna kikao
Tuna kikao, tuna kikao, tuna kikao
Eeh tupishe bwana (Wenyewe tuna kikao)
Tuondolee kelele (Tuna kikao)
Tupishe bwana (Tuna kikao)
Eeh (Tuna kikao)
[Verse 3]
Eeh eeh
Mishoti tu zoyogo ndo chini nyan' ganyang'a
Na ukinchekea kidogo aah umetafunwa bwana
Eeh kushoto na zombie kulia tosi
Ni mwendo wamonde na misosi
Ikukushinda chonde usijifosi
Sie mpaka ligonge la utosi
[Verse 4]
Eti nilale, nimlaie nani
Wakati pesa nimeshika ukubwani
Nilaale, kwa usingizi gani
Wakati umaarufu nimeupatia ukubwani
[Verse 5]
Na wakiutaka motoo moto nawatembezea wa kifuu
Oosh kamata mutoto ghetto kifo cha nende miguu juu
[Bridge]
Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba
Asa tingisha-tingisha fanya ka unamwaga-mwaga
Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba
Asa tingisha-tingisha fanya ka unamwaga-mwaga
[PreChorus]
Jamani sisi ni walevi, tunakesha bar
Tunatumia hela, mpaka jua lianze ng'aa
Kama pombe we hauwezi hapa hapoto kufaa
Nenda meza za inzi kwa wenzako wanao shangaa
[Chorus]
Wenyewe tuna kikao
Tuna kikao, tuna kikao, tuna kikao
Eeh tupishe bwana (Wenyewe tuna kikao)
Tuondolee kelele (Tuna kikao)
Tupishe bwana (Tuna kikao)
Eeh (Tuna kikao)
[Verse 6]
Kama nikinywa mi nakukera shauri zako (Shauri zako)
Kwani mifigo si ya kwangu mimi au ya kwako (Au ya kwako)
Kwani natumia ya kwangu hela au ya kwako (Au ya kwako)
Mtoto wa kiume punguza shobo utashikwa taa (Aahh)
[Outro]
Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba
Asa tingisha-tingisha fanya ka unamwaga-mwaga
Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba
Asa tingisha-tingisha fanya ka unamwaga-mwaga
Jamani sisi ni wale
Written by: Diamond Platnumz, Lava Lava