Lyrics

[Intro]
Iyeei
Iyeeiiye
Iyeei
[Verse 1]
Imekua asubuhi, uwanja wa mapenzi moyoni umechafuka
Nami sitaki, kufagia upendo uende
Nina jua yangu roho ni ndogo ni ndogo hasa ikipenda-e
Ndio maana ukiwa tofauti baby, unaniumiza ndani, ndani (Iyee)
[PreChorus]
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza (Haa)
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza (Haa)
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby (Haa)
[Chorus]
Hey! Utaniua-ua (Haaha), hey (Haaha)
Oh baby utaniua-ua (Haaha), hey (Haaha)
Ooh utaniua-ua (Haaha), hey (Haaha)
Ooh utaniua-ua (Haaha), hey (Haaha)
Aah uranium-ua
[Verse 2]
Nilijichangachanga ilimradi upendeze (Ha)
Nikajibanabana ilinisijikweze (Ha)
Sikutaka kugombana nikupoteze baby
Ilimradi niwe na wewe
Kibaya zaidi (Naumia na upendo wako my love)
[Verse 3]
Ulisema mpaka kifo mama (Ha), tungelizikwa wote (Tungelifa wote)
Ila unanikatisha tamaa (Ha), mimi sitaki uende
[PreChorus]
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza (Bado)
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza (Bado)
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby (Bado)
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza (Bado)
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza (Bado)
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby
[Chorus]
Hey! Utaniua-ua (Haaha), hey (Haaha)
Oh baby utaniua-ua (Haaha), hey (Haaha)
Ooh utaniua-ua (Haaha), hey (Haaha)
Ooh lady utaniua-ua (Haaha), hey (Haaha)
[Bridge]
(We mama wee) Unaniua-ua (We mama wee), unaniua-ua
(We mama wee) Unaniua-ua (We mama wee), unaniua-ua
(We mama wee) Unaniua ua (We mama wee), unaniua ua
(We mama wee) Unaniua-ua (We mama wewee)
[Chorus]
Utaniua ua (Haaha), hey (Haaha)
Oh baby utaniua-ua (Haaha), hey (Haaha)
Wewe unaniua-ua (Haaha), hey (Haaha)
Utaniua ua (Haaha), hey (Haaha)
Unaniua-ua
[Outro]
You love the one, you love the one, you love
You love the one, you love the one, you love the one, you love
You love the one, you love the one, you love the one, you love
You love the one, you love the one, you love the one, you love
Written by: Jux
instagramSharePathic_arrow_out