Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Producer
Lyrics
Hali yangu mbaya, anifikiria akipata muda (Akipata muda)
Moyo ameshaugawa, pakacha penzi linavuja (Limeshavuja)
Mwenzie nna pagawa, nahisi uchizi, na network haisomi, hhm
Anayofanya si sawa nakosa usingizi, mwilini miwasho na vichomi
Mwambie, kuachwa mateso nasulubiwa, mwenzie yatima wa penzi mwana mkiwa
Oh mie eeh! Mapenzi ugonjwa nimezidiwa, mie mwengine sioni kunitibia
Kilio oh, kilio oh (Kilio na penzi langu), kilio oh, kilio oh
(Huruma haana) kilio oh, kilit oh (Yarabi Mola wangu) kilio oh, kilio oh japo simama
Yee ndio barafu Niliemlia yamini, pemba karafu marashi yangu mwilini
Utamu wa ndafu, mbona ameuitia kwinini, amenichezea rafu, penzi amelikafili
Yee anajivinjali mwenzake nadoda, napata tu habari anagawa uroda
Tetemeko moyo kupenda uoga, najiepusha mbali kukwepa vihoja
Mwambie, kuachwa mateso nasulubiwa, mwenzie yatima wa penzi mwana mkiwa
Oh mie eeh! Mapenzi ugonjwa nimezidiwa, mie mwengine sioni kunitibia
Kilio oh, kilio oh (Kilio na penzi langu), kilio oh, kilio oh
(Huruma hanaa) kilio oh, kilio oh (Yarabi Mola wangu) kilio oh, kill oh, japo simama
Moyo wangu bado (Mteke-mteke), asinikondeshee, mwenzake bado (Mteke-mteke)
Asinizeeshe, me mdogo bado (Mteke-mteke), asinokomaze Roho, moyo bado (Mteke-mteke)
Written by: Lava Lava