Lyrics

[Verse 1]
Mwenzako najiuliza hivi umeubwa mda gani
Uzuri wako umeupata Uturuki au kwa mama nyumbani
Nataka nkupe visa au CV uwe wangu rubani
Maana kwako sifurukuti (Sina ujanja yani)
[Verse 2]
Ah, ah silali nikasinzia, kutwa uko kichwani darling
Moyo ungeluwa nguo ningekupa uvae
Ama Mungu angenijalia ningekuwa tajiri madolali
Basi ningekupa rupia maisha nikuvae
[Verse 3]
Kutwa nikijipitisha kwa mitandao kukufungua
Yani unawakomesha, Insta, TiTok unawasumbua
Nikujicommentisha haki ya Mungu wanizuzua
Vifilter unavyojiwekaga, kujiedit na vimaua
[PreChorus]
Navyokupenda eeh, mwenyewe najishangaa
Navyokupenda eeh, mwenyewe najishangaa
Ah, navyokupenda, mwenzako najishangaa
Navyokupenda, eeh mwenyewe najishangaa
[Chorus]
Sijui nikuite nani (Sherrie ama baby)
Nikuite nani Lazizi (Sherrie ama baby)
Nyonda wa huba (Sherrie ama baby)
Eti nikuite nani (Sherrie ama baby)
Mami nikuite
[Verse 4]
Sona baby sona
Niongee kwa kilugha gani unielewe
Mwenzako nkikuona
Moyo unacheza buga unacheza msere
[Verse 5]
Aii umenipa penzi mvinyo
Na mie nimelewa tikitiki
Aii ukinishika cha mwino
Aii kilele mpaka kibiti
Aii wewe
[Refrain]
Majii jamani maji (Yanaufuata mkondo)
Speed yake ya boda sio ya kibajaji (Natumii mgongo)
Aii majii jamani maji (Yanaufuata mkondo)
Mwendo wake wa boda sio wa kibajaji (Natumii mgongo)
[PreChorus]
Navyokupenda eeh, mwenyewe najishangaa
Navyokupenda eeh, mwenyewe najishangaa
Ah, navyokupinza, wallahi najishangaa
Navyokupenda, eeh mwenzako najishangaa
[Chorus]
Eh asa nikuite nani (Sherrie ama baby)
Need mkali ya ini (Sherrie ama baby)
Sherrie na ngai, my baby (Sherrie ama baby)
My sweety, sweety chocolate (Sherrie ama baby)
[Outro]
Asa baby ringa (Ringa, ringa ae) ringa baby (Ringa, ringa ae)
Ringa baby (Ringa, ringa ae na mgongo)
Katika wakuone (Ringa, ringa ae) ringa baby (Ringa, ringa ae)
Ringa baby (Ringa, ringa ae na mgongo) kata wakuone
Written by: Abdul Juma Idd, Zuhura Othman Soud
instagramSharePathic_arrow_out