Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mr. LG
Mr. LG
Producer

Lyrics

[Chorus]
Nilikupigia simu chaji ikakata
Nikakutilia timu mjengoni sijakupata
Akili ikaruka wazimu
Ntakulaje bata
We ni mtu muhimu nikiwa nawe najipata
[Bridge]
Halo, halo
Halo, halo
Halo, halo
Halo, halo
[Verse 1]
Afadhali (Nimekuona)
Afadhali (Tumeonana)
Afadhali (Nimekuona)
Afadhali (Tumeonana)
[Chorus]
Nilikaa kinyonge sana (Tajiri huna adui tajiri)
Wacha niagize pombe nyama (Tajiri huna adui tajiri)
Na bebe zinletee Savana (Tajiri huna adui tajiri)
Tajiri huna adui tajiri (Tajiri huna adui tajiri)
[Chorus]
Nilikupigia simu chaji ikakata
Nikakutilia timu mjengoni sijakupata
Akili ikaruka wazimu ntakulaje bata
We ni mtu muhimu nikiwa nawe najipata
[Bridge]
Halo, halo
Halo, halo
Halo, halo
Halo, halo
[PreChorus]
Kwanza haunaga mapozi (Hauna mbambamba)
Haunaga mamluki (Hauna mbambamba)
Aki ya Mungu ukifa hauozi (Hauna mbambamba)
Ukioza haunuki
[Chorus]
Tulikaa kinyonge sana (Tajiri huna adui tajiri)
Wacha niagize pombe nyama (Tajiri huna adui tajiri)
Mwanagu azimike jamaa (Tajiri huna adui tajiri)
Tajiri atalipa bwana (Tajiri huna adui tajiri)
[Outro]
Hasa mwaga note mwaga (Mwaga)
Tajiri mwaga (Mwaga)
Hasa mwaga note mwaga (Mwaga)
Tajiri mwaga (Mwaga)
Eeh mwaga note mwaga (Mwaga)
Nasema mwaga (Mwaga)
Eeh mwaga (Mwaga)
Jamani mwaga (Mwaga)
Written by: Lava Lava
instagramSharePathic_arrow_out