Top Songs By Jay Melody
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Jay Melody
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kerwin Amos Swai
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Idd Mohamed Ngomba
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Sweet like a kuku, tamu sana
Sweet like a supu, am going to die
Kwenye dimbwi sijiwezi nimezama
Mi corazon my baby banana
[Verse 2]
Penzi hulifichi kama ni sindano itachomaa
Mi siambiliki hata wakaniroge Kigomaa
[PreChorus]
Ukiugusa mwili wangu nashituka moyo paa
Mpenzi wangu nishike nisije nikapaa
Kama mvua na mawingu kama mwezi na anga
Sina jambo kwa jinsi umenikamata
[Verse 3]
Tena usinipege kiduchu
Sugar, sugar, sugar
My life is nothing without you
Sugar, sugar, sugar
Tena usinipege kiduchu
Sugar, sugar, sugar
My life is nothing without you
Sugar, sugar, sugar
[Verse 4]
Nachagua mmwenyewe nitakula ndo nile
Ama nile ndo ntakula
Najisevia manyama-nyama, utamu-utamu
Ah naona raha mie unavyonipeleka puta
Mako tinda mako stamina yaani show-show
[Verse 5]
Mmh naona raha mie unavyoIshusha kwenye tuta mama
Mako tinda mako stamina yaani soo-soo
Ah umeniweza niuwe kanizike, aah kanizike
Umeniweza, mmh
[Verse 6]
Ukiugusa mwili wangu nashituka moyo paa, aah
Baby wangu nishike nisije nikapaa
[Chorus]
Tena usinipege kiduchu
Sugar, sugar, sugar
My life is nothing without you
Sugar, sugar, sugar
Tena usinipege kiduchu
Sugar, sugar, sugar
My life is nothing without you
Sugar, sugar, sugar
Written by: Kerwin Amos Swai