Music Video

Ya Moto Band-cheza kwa madoido (lyrics)
Watch Ya Moto Band-cheza kwa madoido (lyrics) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Yamoto Band
Yamoto Band
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Yamoto Band
Yamoto Band
Songwriter

Lyrics

[Intro]
Mesen na ya moto
Mesen na ya moto
Mesen na ya moto
Mesen na ya moto
Mesen na ya moto
Mesen na ya moto
Mesen na ya moto
[Verse 1]
Nilisema unipigie, unipigie kabla ujatoka
Unipitie, unipitie mwenzako nimechacha
Iweje unizimie, unizimie na simu ukasepa
Unikimbiee
[Verse 2]
Nimekuja na miguu kufata burudani!
Ooh!
Na nimepata tabuuuu hadi kuingia ndani aibuuu!
Aiyaa!
[Verse 3]
Nyamukila dibwee
Nyamukila dibwee
Nyamukila dibwee
Ah ah ee ae
[Bridge]
Nyamukila dibwee
Nyamukila dibwee
Nyamukila dibwee
[Verse 4]
Ingia kati uonyeshe ndani nimeingia!
We mama zungushaa
Kakupa God kiuno
Kakupa God kiuno
Kakupa God kiuno
[Verse 5]
We dada zungusha
Kakupa God kiuno
Kakupa God kiuno
Kakupa God kiuno
[Chorus]
Aleeh cheza kwa madoido kwa manjonjo
Aleeh cheza kwa madoido kwa manjonjo
(Sema) Cheza kwa madoido kwa manjonjo
Aleeh! Cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo
[Verse 6]
Wajawazito ni ruksa ndani kujifungua ehh!
Madaktari ni wengi sana wanasakata bazugi!
Aliye kuja na guta nje aje kulitoa ehh
Maana kupaki vibaya watu wanataka nafasii!
[Refrain]
Masai na mamaaa (Yoyooo)
Marungu na simeee (No no nooo!)
Msije gombana (Ukoo koko)
Mkatoa watu shingo (Ngoo ngongo)
[Verse 7]
We chaiba ebu wacha magongo
Ukija zama nayo mi nitakupa kipondo
Na we panya uwachage kuruka ukuta
Nikiibadilika nakua na hasira za pacha
[Verse 8]
Zamani babu kanifunza kucheza ishara ya kufurahi
Huna sababu ya kununa wakati ngoma ing'ai ing'ai
We muharabu sijui mchina pandisha mori kama masai
Zungusha bodi uwaoneshe jinsi gani waweza kujidai
[Verse 9]
We furahi jidai na cheza kwa mbwembwe
Usione hatari kufurahi hata kama kikongwe!
Uko mali we karibia Yamoto tuku konge
Wote shida zetu ziko nyumbani hapa turuke ili nisonge
[Chorus]
Aleeh cheza kwa madoido kwa manjonjo
Aleeh cheza kwa madoido kwa manjonjo
(Ayee) sema cheza kwa madoido kwa manjonjo
Aleeh! Cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo
[Chorus]
Aleeh cheza kwa madoido kwa manjonjo
Aleeh cheza kwa madoido kwa manjonjo
(Sema) Cheza kwa madoido kwa manjonjo
Aleeh! Cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo
[Bridge]
Leseni na Yamoto
Leseni na Yamoto
[Chorus]
Cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo
Cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo
Cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo
(Sema) Cheza kwa madoido kwa manjonjo
Written by: Yamoto Band
instagramSharePathic_arrow_out