Lyrics

Wanasema nimechange nimepitia mengi please nipeni break
Nani rafiki, nani adui, nani mapenzi, nani real, nani fake
Kuni discuss wakutoa wakunipa marks
Mvua jua hamtaki za wapi, you people talk to much
Mwingine atakutafuta kama nadeal, wengi watakukuta tu ume-chill
Akaleta maneno ya kiswahili, wanataka kujua unalipaje bill
Mwengine atakutag, mwengine haekiwazi ye ni hater
Roho ya ubinadamu kazi wengine watanipenda nikisepa
Acha kuniletea shazi, too much, pigo za kipaparazi zimekuwa too much
Tantari, tantarira, this is too much, ahh you people talk too much
Oh no-no-no-no-no, too much, nisile hata nisinye maji, imekuwa too much
Tantari, tantarira, this is too much, ahh you people talk too much
Too much, too much, too much, this is too much
Usingekuwa naichaji watu tungemwagishana sana radhi
Wengine ndio washkaji ukigeuka mgongo wauwaji
Acha kuleta mapicha, picha longo-longo, unamaindisha mambo-madogo
Inaweza kukufelisha hata michongo, ndio maana Malaika akaeka zogo
Mwingine ataku-tag, mwingine haeki wazi ye ni hater
Roho ya ubinadamu kazi, wengine mtanipendaga nikisepa
Acha kuniletea shazi, too much, pigo za kipaparazi zimekuwa too much
Tantari, tantarira, this is too much, ahh you people talk too much
Oh no-no-no-no-no, too much, nisile hata nisinye maji, imekuwa too much
Tantari, tantarira, this is too much, ahh you people talk too much
Too much, too much, too much, this is too much
Wanasemaga mzigo aubebe punda, utavuma upepo na kimbunga
Lazima kuna Petro na kuna Yuda, utapigwa mawe mti wa matunda
Written by: Darassa
instagramSharePathic_arrow_out