Lyrics

We bora nidanganye-danganye-danganye tuu ukinambia ukweli ntaumia
Hata nikikukuta chumbani mtupu umekumbatiwa
We bora nidanganye-danganye-danganye tuu, ukinambia ukweli ntaumia
Si unajua kwako sijiwezi me siwezi ntalia
Baby nakupenda ndio, sikliza moyo wangu unavyokwenda mbio (Yaani kasi)
Usinipe wasiwasi nighaasi, ila ukinitenda sio
Nakutaka wewe tu baby boo haya, nidanganye tuu uwe true lier, ila ni vibaya ukinitupa kwenye fire, nipige kama kinanda na me niimbe kama kwaya
Kitaa kuna tetesi eti machizi kibao wanakuona mwepesi
Sihitaji ukweli baby please, sitanuna hata nikikufuma na KGT
Niambie kaka yako tu basi, love inanipa stimu kama nyasi
Japo nipo fit kama nyati, sitaki vita kwako nipo peace mpaka basi
We bora nidanganye-danganye-danganye tuu ukinambia ukweli ntaumia
Hata nikikukuta chumbani mtupu umekombatiwa
We nidanganye-danganye-danganye tuu, ukinambia ukweli ntaumia
Si unajua kwako sijiwezi me siwezi ntalia
Hekima na busara zishakumba fikra zangu, hisia zikitawala sifichi kama utupu wangu
Uje unikombate upokee zawadi zangu, ka unikiss sio lazima danganya mashavu yangu
Ukweli unauma na nikijua moyo utauma, fanya siri kama unaiba mali ya umma, na nikistuka nidanganye danganye tu kiaina
Kwako nimefeli 'F me mpofu, nimezama na hiki kina kirefu, ni kama natokea Tanga na mahaba usinichukie
Nataka nikusifu mamushika ujiskie, naomba unidanganye hata wanangu waniaminie, songa kama unanimis njoo maskani uniulizie
Japo wajanja wanapanda tu dau, kukubali sio mbaya ila usinisahau
Niigizie angalau ingawa nyuma ya pazia madharauu
Niigizie angalau, ingawa nyuma ya pazia madharauu
We bora nidanganye-danganye-danganye tuu ukinambia ukweli ntaumia, hata nikikukuta chumbani mtupu umekumbatiwa
We nidanganye-danganye-danganye tuu, ukinambia ukweli ntaumia, si unajua kwako sijiwezi me siwezi ntalia
Ukweli unauma na nikijua moyo utauma, baby nakupenda ndio sikiliza moyo wangu unavyo kwaenda mbio
Ukweli unauma naniijua moyo utauma, nakupenda ndio sikiliza moyo wangu unavyokewnda mbio
Ukweli unauma na nikijua moyo utauma, nakupenda ndio
Written by: Nurdin Ally Bilali
instagramSharePathic_arrow_out