Featured In
Top Songs By Darassa
Lyrics
[Verse 1]
I'm looking for my money, money where you are
Sijalala nyumbani money on my mind
Nyakati za mtaani money where you are?
Where you are? Where you are? eeh
[Verse 2]
Roho safi, low cut, nywele si akili
Ficha white si tunapinduka mtaa wa pili
Kahawa ndo nakaa kitako nasubiri
Ukitaka nafasi ukitaka power go and get it
[Verse 3]
Kaka mgongo hupati labda nikupe katika
Nishazoea kupanda watu kama majukwaa
It doesn't matter where you from
It doesn't matter who you are
Kubali kataa ubao hauandikwi kwa mkaa
[Verse 4]
Nakwambia we kama je alivyoniambia mimi
Lazima machozi jasho na damu mwilini
Usiwaamini watakwambia hauwezi kuwini
Ng'ombe masikini nini nini huwezi kutoka chini
[Chorus]
(Eeh eeh) Sio size yao
(Eeh eeh) Sisi sio size yao
(Eeh eeh) Sio size yao
(Eeh eeh) Wameshajua sisi sio size yao
[Chorus]
(Ooh ooh) Sio size yao
(Ooh ooh) Sio size yao
(Ooh ooh) Sio size yao
(Ooh ooh) Wameshajua sisi sio size yao
[Verse 5]
Kuzaliwa Ngare Naro tu yenyewe baro
Nimekuzwa na ugali kachumbari masala
Natoka mtaani dirisha pembeni mtaro
Mafekeshe ndo wamefanya nikaitwa Njanjaro
[Verse 6]
Weka distance mi nawewe hatufanani
Usifanye mistake, mi nawe hatujuani
It doesn't make sense hainiingii kichwani
Why you hate man? Unataka nifeli njiani
[Verse 7]
I'm a badman toka Dogo, Dogo
Sekunde mtu sekunde mbogo, mbogo
Kufika hapa sio kazi ndogo, ndogo
Ukitaka kuacha kapa kakuwa fogo fogo
[Chorus]
(Eeh eeh) Sio size yao
(Eeh eeh) Sisi sio size yao
(Eeh eeh) Sio size yao
(Eeh eeh) Wameshajua sisi sio size yao
[Chorus]
(Ooh ooh) Sio size yao
(Ooh ooh) Sio size yao
(Ooh ooh) Sio size yao
(Ooh ooh) Wameshajua sisi sio size yao
[Verse 8]
Najua nimetoka wapi
I've been struggling for my life eeh
If I never take chances
Nothing gonna change in my life eeh
[Verse 9]
Najua nimetoka wapi
I've been struggling for my life eeh
If I never take chances
Nothing gonna change in my life eeh